Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya...
0 Reactions
3 Replies
405 Views
Hii sio Sawa. Bora iludishwe tamisemi tuu. Nimesikia utaratibu wanaotaka kuutumia Sasa hivi ni kama ule wa kufundisha chuo àmbapo Kwa chuo kama huna GPA kuanzia 3.8 huwezi kuwa Mwalimu wa chuo...
21 Reactions
94 Replies
5K Views
Leo tujifunze kuhusu interview au usaili Wengi wetu tumeshawahi kudhuria interview na tunajua kabisa mziki na mtiti wa interview sio wa kitoto hasa ukiwa huna uzoefu na namna ipi ya kukabiliana...
2 Reactions
3 Replies
652 Views
Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili Pia , nipo...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Toka sekretarieti ya ajira imesitisha kufanya interview kada ya ualimu mbona hamna kipya wala taarifa yeyote tuliyopewa it's like tupo gizani kisa. Hatuna cha kuwafanya naombeni utumishi na...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari za saa wakuu, Je, kwa wale wenye vyeti vya early childhood education kwenye mfumo wa tamisemi na nyie mnapata options kama zangu kwenye masomo ya kufundisha maana mimi naandikiwa all...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndio, unaweza kutengeneza pesa kupitia uandishi mtandaoni. Kuna njia kadhaa ambazo unaweza kutumia kufanya hivyo: 1. Blogu: Unaweza kuanzisha blogu yako na kuchapisha maudhui kuhusu mada...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Role Overview Gilgal Tech is seeking a passionate and talented Junior Software Developer to join our growing team. The ideal candidate will specialize in Python and web development (or full-stack...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Mnachofanya sio poa mpaka tunene kwa lugha au? Au mpaka tupange mstari? Toeni mwafaka wa walimu sivyo mnasomewa kurjuani ya mzee magoma.
1 Reactions
8 Replies
770 Views
Naandika nikiwa na majonzi mengi sana mimi ni kijana wa miaka 27 jobless ambae napambana na natamani kubadili maisha yangu ila hivi vigezo vya ajira kwa kigezo cha umri vinatukosesha sana ajira...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu Kwa anaefahamu kozi ya uhamiaji inatumia mda gani kukamilika Kwa Askari mpya na salary zao
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Anonymous (1cbf)
Nilifanya kazi katika Kampuni ya Erolink Limited kwa takriban miaka mitatu lakini nikiwa hapo moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona na nimeona bado ipo ni Muajiri kutowajibika katika kulipa...
0 Reactions
3 Replies
381 Views
Habari, Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding. Kituo kipo tayari kuanza kazi.. Kijana mwenye ujuzi huo au alietoka veta anifuate dm kwa mazungumzo zaidi. Kituo kipo Dar es salaam. Karibuni...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
NAME : George Gaspar Francis GENDER : Male AGE: 30 Years EDUCATION: Degree of Bachelor of Laws INTERESTED JOB: I'm interested working in human rights & social justice related activities. TARGET...
10 Reactions
46 Replies
1K Views
Ndugu yangu kabisa mambo, natafuta dada wa kufanya kazi stationery, Sifa Awe anajua vizuri computer na kazi zake. Awe anajua kazi za stationery sio analetewa kazi inamshinda Eneo la kazi ni...
2 Reactions
7 Replies
401 Views
Hello Wana JF Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Sifa za waombaji; 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa Dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele. 4. Awe...
9 Reactions
87 Replies
3K Views
Kwenu wakubwa kwa mwajina Hamisi Ally Elimu kidato cha sita (06) Makazi: Dar,mabibo Miaka:25 Kijiwe:kariakoo Mwenye connection itakayoniwezesha kupata pikipiki ya mkataba naomba tuwasiliane...
1 Reactions
2 Replies
211 Views
nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje...
0 Reactions
4 Replies
612 Views
Hello Tanzanians, Anahitajika Mdada mwenye uelewa na:- i) Stationery ii) WAKALA M-Pesa, Tigo Pesa, Halo-Pesa, Airtel Money. NBC, NMB etc... iii) Vinywaji (soft drinks) Kwa anaehitaji...
2 Reactions
1 Replies
284 Views
Back
Top Bottom