Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
WFP seeks candidates of the highest integrity and professionalism who share our humanitarian principles. Selection of staff is made on a competitive basis, and we are committed to promoting...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
We are looking for a Business Development Manager to join our team. You’ll be the face of Bolt for Business, identifying potential clients, getting them excited about the possibilities, then...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Wale wote waliofanya usaili police majina yashatoka nenda kacheki jina lako
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu naombeni mnipe hints za test ya hawa jamaa aisee nina 48 hrs za kuipiga hio mambo ila sijajua kwamba naenda kukutana na kitu gani ili niandae mashambulizi
4 Reactions
43 Replies
9K Views
Jeshi la Polisi limetoa majina ya vijana wenye elimu ya shahada, stashahada, astashahada, kidato cha sita na kidato cha nne ambao walifanyiwa usaili na kuchaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
NAomba kujua kati yahizi faculties ipi ni Bora na Ina uhitaji mkubwa.nina mdg angu nataka nichague moja kati ya hizi asome.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa, polen na majukumu. Mimi ni muhitimu kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) nimemaliza shahada (degree) yangu ya kwanza katika ndaki ya sayansi asilia na hisabati (College of...
1 Reactions
1 Replies
734 Views
Jamani wakuu dada angu hugo anatafuta kazi yupo mkoani miaka 21 education level iv kazi za ndani hotel duka.shell mshahara 100,000 .150,000 na kuendelea namba yake 0745 286528 jamani kuuuu mumpe...
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Shikamoo Mheshimiwa Raisi Mama Samia! Mimi ni kijana muhitimu wa Elimu ya chuo Kikuu nikiwa na Degree ya Uchumi pamoja na Diploma ya Uchumi. Nimehitimu chuo mwaka 2012 hapa hapa Tanzania ila kwa...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Imezoeleka kila ikifika mwezi wa 10 mwanzoni majina yanatoka naona tamisemi mpo kimya au tumerudi enzi zile hakuna kuhama wala nini?! Ndoa yangu ipo matatani. Jamani toeni majina haraka...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Hamjambo wadau, Naombeni mnisaidie taratibu za namna ya kukusanya mafao kutoka katika mfuki wa Nssf, kwa mwajiliwa alie acha kazi? Nini kinahitajika na je inawezekana kukusanya hata kama...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona wengi wakiwa desperate wakitaka kazi, lakini mabandiko mengi yamekaa kihuni sana. Ni vigumu kupata kazi kama tu first impression itakuwa ni mhuni fulani hivi. Kwa sababu kizazi cha xoxo...
18 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimeahirisha masomo chuo kikuu sababu za kifedha, natafuta shule ya kufundisha masomo ya biashara, nipo Moshi mjini. Mawasiliano 0623428043
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Finance Director, Tanzania Business Unit: Security Services Career Area: International Location: Dar Es Salam, TZ Position/Employment type: Finance Director, Tanzania - Full time Employee...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimesikia Mafinga kuna viwanda mbalimbali, sasa mimi nataka nikajaribu kutafuta vibarua huko. Naomba kwa anae fahamu zaidi au mwenye connection anaeweza kunisaidia kupata kazi huko...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Kumbe Hawa watu nasikia wanaujinga Sana nafasi zote wanazikula wao halafu sisi tunaoomba kazi ni kama tunacheza. Aisee kweli nimekubali hawa ni wenye pesa.
0 Reactions
3 Replies
858 Views
POST: TECHNICIAN II (ELECTRICAL DISTRIBUTION) – 54 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) APPLICATION TIMELINE: 2021-10-15...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
POST DESCRIPTION POSITION INFORMATION SVN IOM/KSU/021/2021 Position title National Migration Health Physician-One Position Position grade NO-A Duty station Kasulu/Makere, United...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Wapendwa wanabodi naomba msaada wa namna ya kufungua tender kwenye mfumo wa taneps, baada ya kuwa nimelipia tender nimepata changamoto...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda. Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom