Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa. Eneo la Mradi: Kazimzumbwi -...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Nahitaji dereva ani'train kwa vitendo kuendesha 'sinotruk howo' (hasa zile dumptuck). Au kama yupo mdau unamfahamu mwenye 'access' ya kupata hilo gari na kujifunzia kwa wiki moja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kukosa Ajira katika soko la Ajira hii sio kwamba hawana uwezo wa kufanya hiyo kazi au namna gani Bali ni kutokuaminiwa na baadhi ya ma Managers na kunyimwa...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello wakuu!!kama kuna mwenye mchongo wa job za hao watu, plz naomba anijulishe. Elimu yangu ni ya vidato 6. Sababu ya mimi kutaka kuwa nao ni mapenzi yangu binafsi tu na hiyo kazi..
10 Reactions
487 Replies
299K Views
Duka liko Dar es salaam eneo la mbezi barabara ya goba. Ni ndani kidogo mtaani sio barabara ya lami. Kutoka lami ni mwendo wa km 1. Masharti ya kazi. 1. Ataishi nyumbani kwa boss wake kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hope mko poa Nimeshangaa kuona kuwa mwaka huu serikali itaajiri walimu, kupitia tume ya walimu. Yaani tume ya walimu ndo itaajiri. Hiki ni kichekesho Cha mwaka na hapa waziri Ummy...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Napenda kuomba msaada kwenye jukwaa hili kwa maana naamini humu kuna watu wafani mbalimbali na connection za kutosha na wengi wamefanikiwa kupitia humu. Umri wangu ni Miaka 25...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wasaalam wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 27 Mhitimu wa kozi ya Clinical Medicine nimehitimu mwezi wa 2 mwaka huu, naombeni Kwa unyenyekevu mkubwa nafasi ya kazi popote pale ndani ya Tanzania...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Salam..nahitaji mhudumu wa hotel sio lazma awe amesomea hotel management au hotelier lakini awe na uzoefu wa kazi kwa: 1. Kuserve wateja chakula na vinywaji 2. Kufanya House keeping 3. Usafi wa...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Ninazo fremu zangu na cherehani kama ishirini hivi. Natafuta mafundi ili tufanye kazi. Pia naplan kufungua chuo cha kufundisha wanafunzi kushona, nahitaji wafanyakazi. NiPM tuongee.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Deadline: September 29,2021 Wanahitajika nafasi hizi ● Secretaries wanahitajika ● Watu wa Ofisini- Photocopy, Telephones ● Muongozaji wa kuimba Kwaya ● Muongozaji wa Kucheza Muziki ●...
8 Reactions
27 Replies
6K Views
tHL Accounting Live Class: FURSA kwa vijana wenye Degree za Account, Finance, Business Administration, Economics au Procurement. Kupitia tHL Accounting Live Class tutatoa mafunzo ya mfumo wa tHL...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Buheri Wadau, Madayaspora mlio ng'ambo hasa nchi za Scandinavia au mnaofahamu na kujihusisha na kuonganisha wafanyakazi nje kwa mikataba mifupi, Naomba kuonganishwa na agency wanaofanya...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Poleni na majukumu Binti wa miaka 24 anatafuta kazi hotelini Vitengo anavyoweza ni Waitress Housekeeping Reception Amesomea na anauzoefu na vitengo hvyo yupo Kibaha ila popote yupo tayari kwenda...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Flydream Company Ltd ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA kwaajili yakutoa huduma mbalimbali kupitia biashara zilizo chini yake. Kwasasa inawatangazia watu wote wenye sifa za kuomba nafasi zifuatazo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza kwenye jukwaa hili kwakuwa naamini humu kuna watu wafani mbalimbali na wenye connection mbalimbali. Umri wangu ni Miaka 32 Ni mkazi wa Dar es Salaam Nina...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari WanaJF. MIMI ni kijana wa kitanzania, umri miaka 25. Makazi: UBUNGO Dar es salaam Elimu: Shahada ya usimamizi wa majengo na nyenzo. (2021).....Elimu sio kipaumbele changu hapa. Naombeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni bint wa miaka 21 natafuta ajira nimesoma pharmaceutical science miaka miwili ila mwaka wa pili semester ya mwisho nimeshindwa kufanya mtihani kwa kukosa Ada. Natafuta ajira yoyote.
1 Reactions
2 Replies
883 Views
Habari zenu wakuu, Mwenzenu nimejaribu kufanya research kwa hii kampuni iyonaitwa Baraki baada ya kutoa nafasi za kazi bila kupata chochote, nani anaifahamu vizuri atoe mwongozo, aina ya shughuri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom