Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wakuu habari Nataka kuanzisha online tv. Natafuta watu wa kufanya kazi wenye ujuzi na hiki kitu. Tuanze pamoja, tuinuke pamoja Ni pm namba ya simu tuyajenge
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari za saa hizi. Nimetimiza miezi sita sasa sina kazi. Nimetumia taaluma yangu kutafuta kazi lakini jitihada zangu hazizalishi matumaini. Shida ni kwamba sipo peke yangu nina mtoto...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
NAFASI ZA KAZI YA ULINZI (NAFASI 30) KITUO CHA KAZI: DAR ES SALAAM/DODOMA/ARUSHA SIFA ZA MUOMBAJI Awe Mtanzania. Awe na Umri zaidi ya miaka 18. Awe amepitia mafunzo ya Ulinzi, JKT, Mgambo. Awe na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Majiraniii,, heshima kwenu poleni na harakati za hapa na pale, kwa wema tu wakuu kama kuna sehemu kuna mtingo wa aina yoyote au kazi yoyote iwe ngumu au rahisi naomba tushikane mkono wakuu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Juzi kuna mdau aliandika kuwa mitihani ya usaili wa Tax Officers wa TRA umevuja na walikuwa wanasove pepa wakiwa kwenye magari kuelekea Dodoma kwenye usaili. Sasa sekretariet imesema usaili...
4 Reactions
37 Replies
8K Views
Habari wakuu.Nimejaribu kutafuta hii scale salary ya PRSS 1.1 ila nimeshindwa kupata jibu kwenye thread zilizopita.Kwa anayejua tafadhali naomba anisaidie inaanzia ngapi.Natanguliza shukrani zangu.
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Naomba mwenye kufahamu juu ya hizi online jobs, unafanya kazi na kulipwa online. Je kuna ukweli wowote juu ya hili? Kwa maelezo yao wanadai unafanya kwa niaba ya kampuni...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu kikubwa n kutaka kufaham kama kuna manufaa kwa mtu atakaeomba kujitolea kada ya afya kuanzia hivi sasa ama vipi Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
2 Reactions
27 Replies
9K Views
Fungua PDF Mnaosemaga GPA si Chochote mjionee wenyewe.
3 Reactions
56 Replies
14K Views
Binafsi ni miongoni mwa wahitimu wa shahada ya elimu wa mwaka 2017. Katika kipindi chote Cha kusotea ajira nilijikita kwenye kilimo champunga, huku nikitafuta kazi yakufindisha bila mafanikio...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Za MAJUKUMU wanaJF, Naombeni msaada kwa mwenye connection ya kazi kwenye makampuni ya MABASI ya mikoani au Mwendokasi (kondakta/Mkata ticket ofisini au Agent). Elimu yangu KIDATO CHA...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu! wapambanaji na watafutaji wenzangu..kweli kazi ni changamoto sana kupata..na hasa kama auna connection utasota sana..itokee tu mkono wa mungu ukuguse! jina langu naitwa James...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa. Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga Nchi yetu Tanzania. Moja kwa moja kwenye maada. Mie Kuna vinywaji napewa na kiwanda kusambaza eneo moja hapa mza mjini. Nafungua...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
JOB OPPORTUNITY: SUA-APOPO RODENT RESEARCH PROJECT (13 POSTS) Applicants are invited from qualified Tanzanians to fill vacant positions at SUA-APOPO RODENT RESEARCH PROJECT. 1.0. POSITION...
2 Reactions
1 Replies
767 Views
Habarini ndugu zangu, kuna ndugu yangu anatafuta mdada ambaye atakuwa anamsaidia kusambaza matunda maofisini,ila awe anakaa Dar. Kwa mdada yeyote atakayekuwa yupo tayari awasiliane nae kupitia...
2 Reactions
1 Replies
912 Views
Habari,naomba mwenye michongo ya kazi naomba tuwasiliane PM Elimu Ualimu wa chemistry & Biology (SUA) Useremala bado nipo mafunzoni Ila baadhi ya vitu Kama kutengeneza Meza,stuli na kupiga...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza kabisa niwasalimu ndugu wote wana jf, mimi nikijana mwenye 25yrs, elimu degree, naishi kahama, nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu mkubwa naombeni kwa yeyoyote. Mwenye connection ya ajira...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
View Vacancy - Receptionist A1 (04/21 DAR) - Maternity Cover The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom