Position: Lead Generator Agency
Location: Bukoba Branch
Type: Full time
Job ID: R-15920479
Overview
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a...
POST: ASSISTANT INSTRUCTOR II (FILM AND TV PRODUCTION) – 1 POST
POST CATEGORY(S): CREATIVE AND DESIGN
EMPLOYER: Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
APPLICATION TIMELINE: 2021-09-03...
We are pleased to announce an incredibly exciting opportunity to join our Commercial team in Dar Es Salaam as Shared Services Coordinator.
Job Scope
Assists the Shared Services Specialist in...
As an international cooperation enterprise for sustainable development with worldwide operations, the federally owned Deutsche Gesellschaft fur Internationale Zusammenarbeit (GIZ) GmbH supports...
Habari wadau kama kichwa kinavyosomeka. Kwa anayehitaji mdada wa kazi. Ni binti smart, anajua majukumu yake na muaminifu. Ni ndugu yangu ametoka Bukoba yupo Dar.
Kama unahitaji mdada wa kazi...
Jamani napenda kuwashukuru wana JF wenzangu, kupitia nyinyi nimeweza kupata kazi japo ilikuwa ni ya muda mfupi lakini kwa nilichopata ninawashukuru sana tena sana.
Haya maisha inabidi tusaidiane...
Habarini wakubwa,
Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua namtafutia mtu dada wa kazi kwa bahati nzuri nikapata contacts za wadada 5 wa ziada walikua wanatafuta kazi. Kuna ambao wapo Dar na wengine...
Habari wana jf,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu mwaka 2020, Nina ujuzi Mkubwa wa kutumia computer katika...
Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant...
Habari zenu.
Nimekuja kwenu nikiwa naamini kwa namna moja ama nyingine nitaweza kusaidiwa kupata kazi.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa Dar es Salaam. Elimu yangu ni...
Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021
Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate...
Wadau naomba kuuliza kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu kazi za BOT zilizotangazwa mwezi July; Vipi washaanza kuita watu au bado.
Mwenye taarifa atufahamishe.
Hivi shirika lipi la mambo ya afya ambalo naweza kujitolea ili baadae nipate kupata nafasi ya kuajiriwa zikitokea, maana nimejaribu baadhi nimekosa kabisa.
Habari zenu wakuu, poleni na maombolezo.
Nirejee kwenye kichwa husika.
Hivi ni vigezo gani vinatumika sana katika kuajiri wafanyakazi katika mashirika makubwa kama vile UNICEF, WHO, AMREF...
Natafuta kazi yoyote ile halali, bila kuchagua kiasi Cha mshahara ila kiwe kinamudu mahitaji ya Mtanzania wa chini. Elimu yangu Chuo kikuu (hii level ya elimu ni kama CV tu, but mshahara wowote...
Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta.
najua si rahisi au yawezekana haujawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.