Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Salaam, Kama titlle inavoeleza,natafuta ambaye anayo account ya uber/bolt(driver account) na haitumii kwa sasa labda kapata mishe mingine. Kama unayo na ungependa kuitoa kwa mtu kuitumia katika...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello JamiiForums Family! I'm seeking for a connection if anyone can help, to get a Part-time job (Any! Even if it's involves physical activity) as i'm pursuing my Last Semester and i need to...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapendwa mimi ni dada ninayeishi na virus vya UKIMWI na ninapenda kufanya kazi na taasisi zinazohusiana na mambo ya UKIMWI, nawaomba sana mtu yoyote anayezijua hizi taasisi aniunganishe nina elimu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman watu wa Mungu naombeni msaada wenu tafadhal mtaa unazidi kuwa wa moto naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote,mahari popote na kwa ujira wwt ili mradi mkono upate kwenda kinywani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
FURSA YA AJIRA YA MWALIMU MKUU : Anahitajika Mwalimu Mkuu haraka, sifa hitajika na namna ya kutuma maombi tafadhali Soma hapa chini. maombi yote yatumwe kwa barua pepe : anneyyamungu@gmail.com...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Napata tabu sana na hii recruitment portal. Niliweka password ikakataa, nikachagua "forget password" ikanambia "password reset email sent" ni wiki sasa sijaona hiyo email. Nimejaribu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,Nina active account ya Uber,Taxify na Little na Driving Licence class A,A2,B,C1,C2,C3,D,E,F,G Nina uzoefu wa kuendesha Uber hivyo nina experience na kazi hii.Naomba mtu mwenye...
1 Reactions
30 Replies
11K Views
Naitwa Juma Paul kija mhitimu wa taaluma ya ukemia upande wa madini nafanya uchenjuaji wa madini ya dhahabu kwa mfumo wa vat leaching kwa ufanisi na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Position: IT, MASS MEDIA AND GRAPHICS DESIGNER - 2 posts Location – Dar es Salaam Position Type – 2 Position Organization Type – Consultancy Company Application Deadline: 20/09/2021 Job...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sorry kuhusu title hapo juu, Ni grocery na sio Pub Anahitajika muhudumu wa Grocery maeneo ya gongolamboto -ulongoni Vigezo: 1.Awe na umri kati ya miaka 18 mpaka 25 2.Jinsia ya kike 3.Ni kazi...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Habari za sasa, Anahitajika mtu yeyote Mwenye uwezo wa kuongea kichina vizuri, kuna kazi ipi mwanza kwa ajili ya translation. Any one interested plz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Kwema? Mimi kwa Sasa niko Dodoma kikazi, mnamo ijumaa Usiku alinipigia Jamaa yangu mmoja akaniambia mdogo wake kaja Dodoma kufanya Interview lakini kakosa pa kulala, hivyo anaomba nimu...
22 Reactions
74 Replies
9K Views
Najua kuna watu wananishangaa, na huenda wapo watakaonishauri nisubiri matokeo ya ajira zilizotoka juzi. Lakini mimi hizo nimepishana nazo. Baada ya kumaliza chuo nilirudi nyumbani (kijijini)...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Anaejua jinsi yakuandika *confidential cover latter naomba anielekeze.
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Habari wana Jamii forums Samahani kwa anayejua Mfano/muundo wa barua ya udhamini wa kazi(referee) msaada please[emoji41][emoji1666]
0 Reactions
2 Replies
13K Views
The Desert Locust Control Organization for Eastern Africa (DLCO-EA) is a regional organization established by International Convention signed by the Governments of Djibouti, Eritrea, Ethiopia...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Habar Wana ndgu, tunaona vijana tofaut tofaut tukiwa wengi kwa namna Moja na nyngine kutafuta connection, na tenda mbali mbali, kwa wenye nazo. Kwa upande mwngne kuna wenye fani zao na wengine...
2 Reactions
8 Replies
947 Views
Tumbi Designated Regional Referral Hospital was initially established as dispensary in 1967,in 1970 was upgraded to a health centre with a capacity of 35 beds, then in 1996 was given special...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Kama umetulia hapo wikiendi hii nikupe dili la kutype. Pages 40, inatakiwa kesho jioni. malipo 15,000. Nicheki Pm. WAKUU NASHUKURUNI SANA, NIMESHAPATA MTU.
0 Reactions
5 Replies
37K Views
The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by the Act of Parliament No. 71 of December 1962 and amended by...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Back
Top Bottom