Habari ndugu zangu watanzania
Mi ni kijana umri miaka 25
Nasoma afya ya wanyama chuo cha kilimo na mifugo kaole bagamoyo mwaka wa pili
Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye sekta ya afya ya wanyama...
Mwaka 2018 ilianzishwa kampuni ya usafiri ya tax kwa mkoa wa Mwanza Taxify baadae wakajiita BOLT, Madereva walihitajika kuhudhuria mafunzo ya siku moja, karibu na Rocky City Mall, waliohudhuria...
Habari wakuu, mimi naishi Zanzibar nina shahada ya manunuzi na ugavi (procurement and supply) natafuta kazi huku huku zanzibar kwasababu nina familia inayonitegemea hivyo kwa yeyote mwenye nafasi...
MeTL Group is a leading economic force in Tanzania with major investments and successful operating companies in key business sectors. The Group employs more than 24,000 people across the country...
MAAFISA MIFUGO, UGAVI ETC.
=========
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)
Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. LITA...
Habari wakuu, Natafuta kazii hata kama ni ya kujitolea ambayo itaniwezesha kukidhi mahitaji yangu, kwa sasa naishi Dar, nipo tayari kufanya kazi mahali popote, Nina uzoefu kutumia computer...
Wakuu nawasalimia!
Kuna hii taasisi isiyo ya kiserikali inayoitwa Tanzania Mentors Action (TMA). Naomba kufahamu kama bado ina operate na je, wanalipa vizuri?
Yeyote mwenye uelewa kidogo a nisaidie.
Kampuni ya EASY CARGO LOGISTICS inayojishughulisha na usafirishaji wa Mizigo kutoka CHINA [emoji630]kuja Tanzania [emoji1241]kwa njia ya Ndege [emoji3575][emoji3575] inatafuta vijana wa sales and...
Habari wana JF.
Mimi ni kijana umri miaka 27 ninaishi Ubungo,Dar es salaam Tanzania
Nina degree ya library and information studies natafuta kazi ya ukutubi katika shule au vyuoni pia ninauzoefu...
Wakuuu Mambo vipi tena kwenu mimi
Mtumishi wa Mungu,
Naulizia hivi nani Mwingine katumiwa hii email ya fundsforafrica waliiiona Tangazo
Mimi nimetumiwa lakini siielewi elewi
Kwenye zile nafasi za...
Applications can be delivered through hard copy or soft copy.
--
BRANCH MANAGER/ASSISTANT
DUTIES AND RESPONSIBILITIES.
Improve profit and attain sales target of the supermarket.
Deal with all...
Habari za jioni ndugu Wana Jamii Forum, ni matumaini yangu ni wazima wa afya na mnaendelea vema na majukumu ya ujenzi wa Taifa latu pendwa la Tanzania. Mimi naitwa MGAYA MICHAEL, kutoka Chuo kikuu...
Natafuta vijana wa kazi ya Shamba la Mifugo.
Nafasi ni mbili. Wawe na uzoefu wa kufuga kuku wa mayai na nyama pia,wafahamu chanjo muhimu na tiba pia.Elimu ya mifugo ni vyema lakini sio lazima...
We are seeking creative, driven, and energetic marketing officers to become part of our growing marketing team.
Candidates should have previous marketing experience in creating effective brand...
Habar Wana jf, katika kutafut experience pia na connection mbalimbali nimeona nipitie jukwaa Hili ikiwemo;
Kupat kujiung na kazi za maswal ya usafilisaji ikiwa kam msaidizi, usimamiz, usafi N.k...
Hili ni swali kila mtanzania inabidi ajiulize.
Unakuwa na Rais anasema polisi waache kuonea watu, hapo hapo anasema ameruhusu mikutano ya ndani ila haya maagizo yake yanakaidiwa na watu ambao...
Habari za muda huu...
nakuja moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu.. mimi najiuliza hivi kwenye hili jukwaa kuna watu wamepata kazi au hata connection ya kazi
maana kuna watu wameshakata...
Habari,
Mimi nikijana wa Kitanzania mkazi wa Temeke Dar es Salaam nina uhitaji wa gari namaanisha natafuta boss wa mkataba ama hesabu kwa tax mtandaoni malufu kama Uber.
Nina acount ya Uber...
Habar wakuu
Natafuta kitabu cha kampuni ni dhahabu ila sijuwi mwandishi ni nani,nataka niwasaidie wafanyakazi wangu kujua namna ta kuendesha kampuni, hope hicho kitabu kitawasaidia kujua mawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.