Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
NATIONAL SALES MANAGER Mbeya Cement Company Limited a member of Amsons group is a leading manufacturing company providing innovative and sustainable building and construction solutions within and...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Habarin wadau wa JF Mimi nikijana mwenye ujuzi wa taaluma ya welding yaan uchomeleaji mageti madirisha kupauwa kenchi za chuma nk. Nina vifaa vyote lakini sina ofisi naombeni connection wadau...
0 Reactions
14 Replies
435 Views
Habari za leo, swali kwa ufupi tu kwa wazoefu au hata kwa ulivyoona Hivi ukonda wa kwenye malori ndio ukoje maana kuna mtu anatafuta vijana wa3 kufanya kazi hiyo Naombeni ufafanuzi hapa ikoje
3 Reactions
5 Replies
280 Views
Wadau Niliahidi hapa kwenye huu uzi wa Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa kwamba ikitokea nimepata sehemu ya kupiga kazi ningewajuza. Nachukiua nafasi hii kuwafahamisha...
102 Reactions
83 Replies
6K Views
Haya vijana achanenini na bakabaka ilo lishaenda pambaneni na uhamiaji sasa hawa hapa tembelea tovuti yao
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu . Graduates wengi wana...
10 Reactions
30 Replies
894 Views
EMPLOYMENT OPPORTUNITY FOR THE YEAR 2015/2016 The Higher Education Students` Loans Board (HESLB); was established under the Act No. 09 of 2004 (as amended) and started operations in July, 2005...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira. % kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu...
1 Reactions
5 Replies
377 Views
Natumai mko wazima. Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta...
0 Reactions
3 Replies
180 Views
Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye...
2 Reactions
3 Replies
305 Views
Kutokana na sintofahamu usaili wa kada ualimu kusitishwa mpaka itakapotangazwa, hebu chukua dakika tano kumsikiliza Mh. Waziri wa elimu. Halafu nipe maoni yako. Ubaya ubwela.
6 Reactions
108 Replies
17K Views
Natumai mko wazima. Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Natumai mko wazima. Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant, Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Salamu, wakubwa hivi mtu ukifika hatua hii hapa kwenye kiambatanisho nilicho attach Kuna hatua Gani nyingine natakiwa kufuata?
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Naomba kuuliza wakuu, Jana idara ya uhamiaji imetangaza nafasi za ajira, ambapo moja ya maelekezo wameyotoa waombaji wanatakiwa kuweka cv , sasa naomba kuuliza je cv hiyo tuna andika kwa lugha ipi?
3 Reactions
19 Replies
508 Views
Wakuu kwema?? Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview Naijiuliza ili uweze kudufua hii job...
1 Reactions
2 Replies
422 Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Habari ninahitaji mhasibu kwa ajili ya kampuni mpya uwekezaji kwenye madini, awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 5. Majukumu ni kuandaa mishahara, kuandaa report za fedha kila mwezi kwenda...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Jamni wadau mwenye fununu au anae jua nafasi za JESHI la uhamiaji na POLISI MAGEREZA ZINATOKA lini tunaomba atujuze ili tujiandae jamani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom