Habari za wakati huu...
Mimi ni binti wa miaka 25 mwenye uhitaji wa kazi. Mimi nina shahada ya uchumi sera na mipango kutoka chuo cha Mzumbe. Niko hapa kuwaomba msaada wa kupata kazi yoyote ya...
HABARI WANAJAMII!!
Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana...
HABARI WANAJAMII!!
Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana...
Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil zamani sasa Lake Energies, inafukuza wafanyakazi wake kiholela bila kufuata sheria za kazi.
Mtumishi anaondolewa kazini bila kupewa barua yoyote ile wala kulipwa...
Ni jambo la ajabu lakini la kweli.
Mojawapo ya tangazo lililowekwa katika tovuti ya ajira portal na mara zote kabla hujaweza ku apply system inakuambia ama kukukumbusha uhakikishe ume attach...
Anahitajika Mwalimu wa muda " part-time" mwenye uzoefu Video production, Video graphic, Graphic design na Electronic media, mwanafunzi anaishi Dar es salaam, asanteni.
Wakuu Leo nimefanya paper ya written utumishi, na matokeo wametoa Leo Leo, si mchezo yaani mstari wa not selected
Umeanzia kwangu na ukizingatia nimepata 75% yaani inauma mno asali inanipiga...
Mimi nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza nasoma Marketing and Public Relations, pia ni DIGITAL MARKETING SPECIALIST.
mambo ya masoko Mtandaoni, kusimamia na kuendesha accounts za mitandao ya kijamii...
Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku,
Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza.
lengo la...
Benjamin Mkapa Hospital is established under the Government Notice No.453 of 2015 which was gazetted by the government on 16th October, 2015 after its inauguration on 13th October,
2015.
The...
Habari za weekend wadau,
Leo naomba nitoe ushauri kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali ambao wamemaliza na wanaotarajia kumaliza astashahada, stashahada, na shahada kuhusiana na mfumo wa ajira...
Habari za weekend wadau,
Leo naomba nitoe ushauri kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali ambao wamemaliza na wanaotarajia kumaliza astashahada, stashahada, na shahada kuhusiana na mfumo wa ajira...
Kwa wale ambao mkiamka hamjui mkashinde wapi.
Kwa wale ambao mmesoma na mnapambania kupata ajira.
Nimewawekea link ya group ya whatsapp hapa, kinachotakiwa ni wewe kufuatilia na kuwa Fasta...
Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao...
Habari za Jumapili wapedwa.
Napenda kuuliza Wazoefu wa safari ya Nairobi kutokea Arusha.
Mimi naitaji kuelekea West Land. Lakini sifahamu chochote. Kwanzia
Nauli ya kwenda na kurudi.
Gharama za...
Mimi ni kijana wa Kitanzania, nina umri wa miaka 25, elimu yangu ni stashahada ya utabibu, ninatafuta nafasi ya kazi, ninao utayari wa kufanya kazi mkoa wowote, iwe ni katika vituo vya kutolea...
Habari zenu wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu amefanya usaili wa kuandika hivi karibuni PSRS kada ya Tutorial Assiatant kwa huu mfumo mpya, je usaili unafanyika kwa computer kama wengine? mfano...
Habari wakuu,hivi mradi wa Bomba la mafuta TAZAMA wanaajiri vipi,na vipi kuhusu marupurupu na mishahara inakuwaje? maana tokea nimeomba nafasi mwezi wa 9 sioni feedback yoyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.