Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza...
Anahitajika kijana wa kiume au wa Kike.
umri 20 to 25 yrs
Eneo la kazi : Arusha
Elimu: degree ya masoko au sheria
hakuna uzoefu unaohitajika.
Mawasiliano: 0782396666
Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri...
MAPADA SOAP is an industry that deals with the production of soap. The industry is located in Ilala District, Dar es Salaam, Tanzania. The industry is situated at the foot of Banana Bus Stop, 6.8...
Ndugu zangu kama kawaida yangu Huwa nikipata wasaha wa kuwaasa vijana wenzangu , Huwa sipendi kuwa mchoyo wa taarifa hivyo Leo nimeona niwafunue ubongo maana kupitia bandiko langu nililoweka la...
Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana wa miaka 23
Jina ni Rajab
Makazi ni Kwa Aziz Ali, Dar es salaam
Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo.
Nimehitimu chuo mwaka huu (Lakini...
Kuna programme mpya zinaanzishwa vyuoni hasa vyuo vikuu lakini hazijulikani kwa waajiri. Programme hizi zinaweza kuwa zinampa vigezo mtu aliyechukua hizo programme lakini anashindwa kupata kazi...
Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa...
Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya
ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery
Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a...
Habari zenu humu Wana jf , naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana...
Nafasi za Ajira
Kituo: Wakuru Specialised Clinic
Mahali: Temeke, karibu na Hospitali ya Temeke
Wanahitajika wafanyakazi wafuatao:
Daktari Bingwa (Internal Medicine)
Nurse (ANO)
Laboratory...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia...
Hizi ni kazi ambazo zinaweza sana fanywa tu na Watanzania, ila sasa sijui ni wawekezaji au la, wanatafuta Wakenya, na inaonekana hawataki Watanzania.
Tena analipwa pesa nzuri na nyumba bure na...
Wakuu habari zenu
Kama Title inavyojieleza naombeni mwenye connection ya kazi ya kupush hashtag au kusukuma reli anisaidie
Hali ni ngumu sana tunapigana but nothing kwahiyo kama una connection...
habari wakuu
Kati ya hizi proffesion nani anapokea pesa ndefu kuzidi mwenzie???
Naomba usaidizi tafadhari,kujua uelekeo ni njia sahihi ktk kufanya maamuzi
Hii nchi ni tajiri
Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu.
Kwenye maswala ya ajira nimeajiriwa na nafanya kazi za mauzo na masoko kwa miaka 6 sasa. Katika kazi zangu, nimejikuta nikivutiwa sana na maafisa...
Habari wakuu.
Kuna jambo nataka kufanya kuhusu lugha ya kichaga.
Naomba kama humu jamvini kuna mwalimu wa sarufi ya Kiswahili na Kiingereza kwa ngazi ya kidato cha nne tuwasiliane tuone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.