Habari jamii nimekuwa nikihangaika kwa muda kutafuta kazi,elimu yangu ni kidato cha nne,nina uzoefu wa usimamizi wa baadhi ya shughuli na kazi mbalimbali.
Nimefanya kazi casino kwenye upande wa...
Kuna nafasi chache za 'internship' zenye malipo kwenye kituo kimoja cha afya Dar es salaam.
Vijana wanaoweza kupata nafasi ni kama ifuatavyo;
1. Clinical Officer (Tabibu)Mwenye leseni...
Japo haitokua 100% solution ya kutatua tatizo la ajira ila njia hii inaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira.
Kila tangazo la watu wanaoomba ajira humu ndani sina shaka kwamba wanamiliki...
Natafuta msichana wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money. Mshahara ni sh 60000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz au mwepes kuelewa kwa muda mfupi. Umri usiwe zaidi ya 23. Eneo la...
Ndugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana.
Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha...
UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION:
Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees .
Job...
Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
Job Position Cashier At Coast Mart Supermarket
Coast Mart Supermarket is located in the heart of Kibaha, in a new modern building with its 1,200 square meters meets the different needs of...
CUSTOMER CARE OFFICERS
Details
Employer name: Job Junction Tanzania
Minimum Qualification Diploma Years of Experience 1 years
Main Job Task and Responsibilities
1)Answer incoming calls and...
TEACHING POST (7)
HEAD TEACHER,BIOLOGY AND CHEMISTRY,PHYSICS AND MATHEMATICS Tanzanian only.
But also we are in need of UGANDAN TEACHERS.
1. Head Teacher.
School location: Kigamboni Dar es...
Okay Kwema Wakuu Mi ninacho amini hali zetu haziko sawa katika haya maisha na wapo tuliotoka familia duni au tunaishi kwa rafiki au hata ndugu kwa masimango na manyanyaso makubwa.
Mbali zaidi...
Wasalaaaam!!
Hizi nafasi za ajira zilizotangazwa na Serikali tar 9/5/2021 zimetoa mwanga ni kwa namna gani vijana wengi wamehitimu na hawana kazi wako mitaani na wengine wakijitolea katika ofisi...
Job Opportunities At Rufiji District Council
District Council of Rufiji has announced new job opportunities to fill village executive positions. For more information get attached PDF file below...
INTRODUCTION
TANICA PLC was established as Tanganyika Instant Coffee Company Limited (TANICA LTD) under Companies ordinance (Cap. 212) in 1963 as a limited liability company. TANICA has been a...
Job Description
The Human Resource will perform different HR tasks and duties to support effective and efficient operations of the Human Resource Department and the organizations...
Umri miaka 25 muhitimu wa diploma ya procurement nimefanya kazi miaka miwil na nusu stationery, secretary, reception pia sales naweza kufanya kazi yoyote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.