Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Job Summary The Sales and Marketing Executive is tasked with promoting, selling, securing orders from existing and prospective clients within the assigned branch/territory in line with agreed set...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Niko masasi mtwara nimesoma shahada ya maendeleo ya jamii(BA-DS).natafuta mashirika husika,yanayohusiana na maendeleo ya jamii kwa ajili ya kujitolea ili niongeze weledi zaidi katika fani yangu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu Dereva wa Uber anatafutwa Awe na sifa zote za dereva wa Uber Awe msafi Mchapakazi Mwenye uzoefu Na mwenye nidhamu WhatsApp 0737480658
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, natafuta kazi professional yngu ni clinical officer popote pale iwe ya temp au permanent popote pale No 0627018037
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nipo nahitaji kibarua katika shughuli za ujenzi , kazi yeyote ya nguvu naweza kufanya. Elimu Form six . Niko DSM msaada wenu wadau.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, Naomba kuuliza nimeona sehemu nyingi kuna branch mpya za idara ya maji Dawasco na soon kufunguliwa, ningependa kujua juu ya taratibu zao juu ya upatikanaji wa ajira...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Ninahitaji mtu kwa ajili ya Marketing na Sales kwa Arusha. Sifa; Diploma au Certficate ya Marketing Awe na uzoefu kwenye Sales and Marketing kwa kipindi cha mwaka mmoja hasa kwenye Bevarage...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
TAREO-Tanzania Rural Empowerment Organization ni asasi isiyo ya kiserikali yenye makao yake makuu Moshi, Kilimanjaro. Hoja ya jukumu la asasi hii ni kuwajengea uwezo wa kazi wa vijijini hususani...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau mambo vip naona TARURA wametangaza Kazi kwa Engineer na Watu wa Manunuzi kazi kwenu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I get confusion comreds. Hivi inawezekana kwa mtu mmoja kuajiriwa na taasisi mbili za serikali mfano(Muhimbili National hospital na MUHAS) na akawa anapokea mishahara miwili kutoka taasisi mbilio...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
We are looking for qualified experts
2 Reactions
0 Replies
445 Views
Vigezo na mashariti vimeambatanishwa Ingawa tarehe ya mwisho imekaribia unaweza kupiga simu kwa meneja au mwenyekiti kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana JF Nina Diploma in General Agriculture natafuta kazi katika fani hiyo.Mshahara maelewano.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nipo vizuri sana kwenye purchases and accounts. Pia nina uzoefu na hii kazi nishafanya sehemu mbalimbali. Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
1 Replies
588 Views
Kama wewe uko home tu huna kazi yeyote yawezekana upo unatafuta kazi bado hujapata au ni mama wa nyumbani,au ni kaka wa nyumbani kazi yako kubwa ni kuingia mtandaoni kusoma kuangalia dunia...
14 Reactions
82 Replies
9K Views
Ndugu zangu msinichoke bado sijapata ajira. Nilisoma IT lakini ninaweza kufanya kazi yoyote. Kama una duka au biashara naomba uniamini nije nifanye kazi yako kwa ufanisi. Napatikana Dar es salaam...
8 Reactions
146 Replies
12K Views
habari zenu wana JF, nimekuja tena kuomba msaada wa kibarua hali imekuwa ngumu, baada ya kuzunguka kutafuta ajira rasmi ya kufundisha kwenye shule bila mafanikio niligeukia kwenye kazi za...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wapendwa humu JF, Mimi nina miaka 28 chuo nimepita nikapata degree ya masuala ya computer ila kama mnavyojua wimbi la kukosa ajira limekuwa tatizo kubwa kwasasa ndio maana nimeamua kuja...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Wana JF, Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom