Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu. Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Mimi ni kijana wa kitanzania Mwenye umri wa miaka 24 mkazi na mzaliwa wa Arusha. Nilikua naomba kazi ya kufanya kwenye Mgahawa au restaurant Ndani ya mkoa wa Arusha na Mikoa jirani...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Jamii forums, Mimi ni graduate kutoka chuo cha IFM , class of 2019 , nimesomea degree ya Banking and Finance. Naomba msaada wa kupata kazi as Graduate Trainee , wakati tukiwa chuo...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarin Wana JF Yeyote aliye na qualifications za lab attendant ani PM Location: kanda ya ziwa
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya. Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania. Kwa sasa nipo kibaha.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jf, naomba kurudia Uzi huu kwa watu ambao wanaweza kunisaidia. Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HR WORLD LIMITED on behalf of our client in (Banking Industry) we are looking for a qualified Systems Administrator who has the following responsibilities and qualifications. SYSTEMS...
0 Reactions
2 Replies
835 Views
Wadau ninamiaka karibu Sita mtaani bila ajira Rashmi japo nimejitahidi Sana kufanya shughuli zangu zingine za Computer maintenance niliojifunza mtaani japo bado kipato hakijitoshelezi. Kilio...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu Salaam, Naitwa Didas E.Michael. Nina bachelor degree of statistics and mathematics. Natafuta kazi katika taasisi yoyote ile iwe ya kiserikali au binafsi, makampuni,NGO au mashirika yoyote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I know JF has wide possibility to help me, so come on! I'm a man(29) I've knowledge in computer application based MS-word, excell, access, internet, powerpoint and publisher. Whoever/wherever I...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Tunahitaji yeyote mwenye uzoefu na kazi za staionary. Awe na uwezo wa kutumia computer hususani program zote za machapisho. Awe mzuri wa kutumia internet Aweze pia kuandaa na ku post matangazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta kazi kwenye hospital na pharmacy nimesoma Pharmacy miaka miwili sina leseni ila cheti ninacho Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Mimi ni kijana wa kiume Miaka 24. Mkazi wa Arusha. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Naomba kwa yeyote mwenye kuweza kunipa ajira ya muda au ya kudumu. Kitengo chochote iwe ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni msaada wana JF nina cheti cha IT pamoja na mambo ya Clearing and Forwarding nina leseni ya udereva Class D naombeni msaada hata kwa kujitolea nijifunze kazi.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF I hope mpoa. Mimi mi muhitimu wa diploma ya account mwaka jana nilijaribu kuomba mkopo nienndelee na bachelor ila nilikosa. Naomba kama mwenye kunisaidia nipate sehemu hata ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajijta Recruitment Company wanapatikana Makumbusho kituoni jengo la Choppers Supermarket floor ya tatu. Wanachukua cv kwa ajili ya kukutafutia watu interview wanajazishi form yao kwa...
3 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari zenu wadau Kuna mtu yoyote ambae ameshawahi kupata kazi kupitia hawa jamaa wanaojiita "Job Junction Tz ? Kama yupo naomba anipe uzoefu wake na alipataje pataje kazi kupitia kwa hawa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Back
Top Bottom