Habari Wana jf, mm ni kijana jinsia Me naishi DSM natafuta mafundi wa kunishika mkono kwnye tenda mbalimbali za ujenzi.
Naweza safirI mahali popote jijini Dar es Salaam pia nshafanya kazi mbali...
Wana jamvi habari!
Nachelewa sana kuamini kupata kazi itakayoendana na taaluma yangu ya ualimu.
Sasa mwanye connection ya kazi yoyote halali ya kuingiza kipato nipo hapa iwe sehemu yoyite...
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa atakaenisaidia kupata kazi upande wa mauzo na masoko(Sales and Marketing) kampuni yoyote Dar es Salaam.
Mimi ni muajiliwa wa kampuni fulani ila kituo changu cha...
Naitwa Emmanuel Harold nipo Morogoro, Nina Diploma ya Animal.Health, Pia nina Degree ya Agriculture Extension. Ninatafuta ajira popote pale. Maana maisha yamebana na ajira imekua changamoto kwa...
Ndugu zangu,
Mambo si mambo naombeni connection ya kazi hata za udereva nna leseni ni kijana mchapakazi na muaminifu.
Elimu kidato cha nne pia nina familia.
Napatikana Dar es Salaam, Kongowe...
Degree hazitakiwi kwa kiasi kikubwa, hivyo basi watoto wetu wakitoka kidato cha 4 waingie vyuo vya kati, then wakiwa wanapambana kupata degree wawe wamepata kazi katikati hapa.
Wakuu.
Wakala wa Vipimo Tanzania wametangaza Nafasi za Kazi katika kada zifuatazo.
1. Afisa Vipimo daraja la III~ Nafasi 150.
2. Dereva Daraja la II - Nafasi. 55
Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe...
Kwa waliofanya oral na sekretarieti ya ajira.
Waliofaulu wanapigiwa simu na ma hr wa TPA na kutakiwa kwenda.
Kuripoti kazini Jumatatu 25/03/2019.
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha...
Mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda kuna kampuni moja ni maarufu sana inajihusisha na mambo ya mazao inatoa mikataba feki kwa mwafanyakazi wake pia inachelewa sana kulipa mishahara, kima chao cha...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo!
Poleni na Majukumu ya kimaisha na harakati za kila siku.
Leo nakuja kwenu tena hapa nikiomba kuunganishwa na mtu ambaye anafanya kazi pale...
Duties
Administrative duties and Events Coordination: 50%
Assists with the Letters of Requests (LORs) and Letters of Acceptance (LOA) and LOAs for the FMS cases when requested by OSC, Chief...
About School
Uru Community Pre and Primary Academy is a school under Neema International located in the village in Moshi, Kilimanjaro. The school provides free primary level education to...
Introduction
Sustainability in Action SiA is a non-government organization operating in Tanzania mainland aiming to enable the community to achieve sustainable development through sustainable...
Biomedical Engineering ni moja ya idea muhimu kwenye sekta ya afya. Ni idara kama Pharmacy, Radiology, Medical Laboratory, Dental n.k
Kwa Tanzania ni Idara changa sana katika hospitali...
Job Positions CCTV Operator 6 Posts at Shanta Mining Co. Ltd
SHANTA MINING COMPANY LIMITED
EMPLOYMENT OPPORTUNITY
CCTV OPERATORS (6 POSTS)
SCOPE OF ROLE
LEVEL OF WORK: 1
ROLE TYPE...
Habari wana jamii forum, Naitwa Peter naishi dar es salaam.
Natafuta kazi yoyote ya kufanya ili niweze kuendesha maisha. Nimesoma mpaka chuo, mwalimu wa shule ya msingi..lakini sijabahatika...
Wasalaaaam wakuu,
Nina imani ninyi wote ni wazima wa afya, bila kupoteza muda niende kwenye mada tajwa hapo kama inavyojieleza, katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.