Mimi ni Msichana umri miaka 25, Nina shahada ya kwanza ya mambo ya kibenki na huduma za kifedha ( Bachelor of Commerce in Banking & Financial services) kutoka mojawapo ya vyuo vikuu hapa DSM...
Habari!
Mimi ni dereva natafuta mmiliki wa gari ambae ataruhusu gari lake kwa kazi za uber. Nikiwa kama dereva tutakubaliana kiasi cha marejesho kwa siku/wiki.
Nina uzoefu wa kazi hiyo
Account...
Habari wakuu,
Nahitaji kazi yoyote kwa sasa, kiwango cha elimu yangu ni shahada ya ualimu.
Ila nipo tayari kufanya kazi yoyote nipo Morogoro maeneo ya Oil Com.
Wanahitajia vijana waliosomea Account, Finance and Administration fresh from school ngazi ya Certificate, Diploma au Degree(yeyote kati ya hizi)
Kama wewe ni muhusika naomba namba yako PM au kama...
Poleni na kazi wadau wa JF.
Kutoka na sababu mbali mbali watu huwa wanabadili kazi sina haja ya kuzitaja maana zinajulikana. Napenda nijue ikitokea mtu kaacha kazi ya taasisi ya serikali na...
Habari wanajamii?
Mimi ni S jinsia Ke, umri miaka 28, elimu yangu ni shahada ya Uuguzi bado sijapata leseni ila nategemea kuipata mwezi wa 7 mwaka huu,
Naomba kazi yoyote kwa sasa inayoweza...
Ni biashara ya kutengeneza nguo aina tofauti kwa jumla na rejareja. Na tunatafuta mtu wa kusaidia na kazi tofauti za ushonaji.
Sifa
1. Awe anajua kushona (sio mwanafunzi)
2. Awe mchapakazi
3. Awe...
Kwa anaye juu utaratibu wa kuomba kazi za ufundi katika mgodi atujuze maana sisi wangine ni mafundi na nafasi wanazo tangaza dah, ni zawasomi wa kiwango cha lami, tujuzane basi na sisi mafundi...
Habari wadau,Nina jengo la ghorofa moja maeneo mazuri sana,jengo lina apartment 6, kinachohitajika ni ukarabati wa kina ili kulifanya la kisasa.
:::Estimate 100ml.zitahitajika.
:::Rent at that...
Habari za wakati huu Wakuu.
Kwanza kabisa nianze kwa kutoa pole kwa changamoto mbalimbali za kimaisha mnazozikabili. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, kitaaluma ni mtaalamu wa...
Mimi ni mhitimu wa veta pia Nina ozoefu wa kufanya kazi kwenye garage mbalimbali.
natafta kaz kwenye garage, kiwanda au sekta yeyote hle Napatkana kw no za simu 0626645648 & 0714624097
Email...
Habari wadau,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, naishi Dar es salam, Wazo, Salasala.
Ninashahada ya ualimu wa masomo ya Geography na English, pia naweza kutumia compyuta japo sio sana...
Habari ya leo wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume,
umri wangu miaka 29 .
Nna mke na mtoto 1,
Naishi Dar Es Salaam
Elimu yangu kidato cha nne
Nimejitokeza hapa kuomba kazi ya sales and marketing ama...
Swali langu kwanini serikali hua haifikilii Kama Kuna Mafundi mtaani wanajenga taifa nawanamchango mkubwa kwenye taifa hili?
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Habari zenu,
Ninatafuta ajira kwa kuandika online, kwa mtu mwenye anafahamu, anamiliki online Chanel yoyote inayolipa, msaada wa connection ninahitaji.
Naandika kwa lugha ya kiswahili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.