Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wanajamvi, kwanza namshukuru mwenyezi Mungu hatimaye nimepata ajira. But nimepangiwa halmashauri ya Makete, Njombe maeneo ya Mlondwe. Naomba kwa mwenyeji wa eneo hilo au anaepajua vyema...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani Neema imefunguka nimeshapata kazi ya kuwatengea mabosi chai maofisini, Sema huku mshahara mdogo, 235000, usafiri Nina baiskeli. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Wandugu walifanikisha 100% kwa upande wa walimu nimekutana na changamoto ya kushindwa kusave machaguo hicho kitufe hakipo msaada tafadhali
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Samahanini wadau naomba mwenye barua inayoelekeza tarehe ya kuripoti walimu wapya wa June 2021
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanahitajika wapishi 2 hoteli ya Lahe Mwanza. Sifa ni cheti cha kuhitimu menejimenti ya hoteli uzoefu miezi sita 6- 12 na mshahara 300000/= posho ya usafiri na nyumba. Piga 0754290084 au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu Mabibi na mabwana napenda kuwasalimu wakubwa na wadogo, Lengo la Ujumbe huu ni kuomba kwa yeyote ( MWENYE PIKIPIKI YA MKATABA/ HESABU ) nipo tayari kufanya kazi nina patikana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana JF Anahitajika haraka mpishi aliye kua mtalamu waku kaanga chips na kuku, kuchoma kuku na mishkati na mapishi mengine aina hio ya jiko. Anatakiwa awepo Dar. Tuwasiliane 0789155571
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya leo wakuu,kwa muda sasa imekuwa changamoto kubwa kupata kazi hata kama una uzoefu kiasi gani bado watu kukupa ajira ni mtihani. Kwa upande wangu mimi nna uzoefu wa kutosha Katika usafi...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Kumb. Na EA.7/96/01/ K/277 8 Septemba, 2020 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara na Taasisi zinazojitegemea anakaribisha maombi...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu. Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu mwaka 2020, Nina ujuzi Mkubwa wa kutumia computer katika...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza niaze kwa kumshukuru Mola mlezi kwa kila neema na upendo wake. Natumai wote ni wazima. Nianze tu kwa kuipongeza serikali kwa kuajiri watumishi wapya katika sekta ya elimu na afya, kiukweli...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakubwa na wadogo, Salutations!! Nipo Iringa na katika harakati za kusaka ajira za hapa na pale (japo nimepata), juzi kama masihara nilielekezwa sehemu na nikapewa namba ya meneja, nikampigia...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni kijana niliyemaliza form 6 mwaka 2019 nakupata DIV 2 kwa combination ya EGM nilikuw naomba msaada wenu kuhus hii koz inahusian n nin,pia kweny kuajiria unaweza kupiga kampuni kama zipi pia...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
Habari wadau Mm ni mwajiriwa nafanya tender lakini mara kadhaa nimekutana na hayo maneno katika TENDER number lakini nimejaribu kugoogle nimeshindwa kupta abbreviations zake kwa anayejua maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Si kwamba nimebahatika lahasha ila vigezo vilivyo tumika vinajieleza kuwa Haki imeonekana kutendeka na muendelee na vigezo ivyo katika ajira zijazo Kazi iendelee....
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom