Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
1. POSITION TITLE: OFFICE SECRETARY (1 POST). Educational/ Professional Qualifications: ● A National form IV/VI certificate. ● Must have a NTA level 6 Certificate in secretarial Services or...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in...
1 Reactions
192 Replies
27K Views
Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo. Natafuta kazi yoyote. Kazi ya halali. Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp)...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
WWF Tanzania Arusha office through its TNRF/ WWF implement and supported by BMZ Programme is seeking to recruit an engineer consultant to supervise its construction works in the Northern part of...
1 Reactions
1 Replies
736 Views
  • Closed
Nawasilimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mimi ni binti umri wa miaka 25 kwasasa naishi Dar es Salaam ni mhitimu wa shahada ya maendeleo ya jamii ( degree in social development)...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Vipi majina ya waliofanya Oral interview (October -2020) eGA kupitia UTUMISHI yameshatoka?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ninaitwa joseph Msai mkazi wa mkoa wa Mara umri wangu ni miaka 22. Nimehitimu elimu ya sekondari. Ninatafuta kazi kwa yeyote mwenye ajira anaweza nisaidia... Iwe ni shirika la mikopo au wakala wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijan mwenye umli wa miaka 22 ninaomba mchngo/msaada wenu wadau katika upnde wa uandkaji wa barua ya maomb ya kazi. Barua znatofautiana kwa upnde wangu mimi barua ninayoinzngumzia ni barua...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mimi ni Civil technician kutokana na uhaba wa contract za ujenzi kwa sasa niko mtaani naombeni kwa yoyote anayeweza kunisaidia kazi yoyote halali. Note sichagui kazi hata kama unataka kazi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu hbarin za jion. Naomba afisa tarafa anayeweza kubadilishana kituo Cha kazi. Ajë mwanza me nishuke morogoro. Ahsanten
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Education: Bachelor /degree Level; Basic technician certificate in banking and finance Level; Ordinary diploma in banking and finance Level; Bachelor degree in banking and finance Experience...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu salam, Mimi ni mhitimu wa chuo mwalimu wa sekondari kutokana na uhaba wa ajira nafanya Kazi za ujenzi kama kibarua. Nashukuru angalau sikosi chochote nimeridhika na Kazi ninayofanya ingawa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari za kazi, Naomba msaada wenu wa kupata kazi ya udereva, mtu yeyote mwenye conection anisaidie, nilisomea veta leseni yangu ina madalaja A B D E, pia nina uzoefu wa zaidi ya miaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana habari. Kama kichwa cha habari kilivyowazi hapo juu.kitaaluma mimi ni mwalimu wa shule ya msingi japo nimefanikiwa ku upgrade Elimu yangu kwa level ya bachelor. Mazingira ya mwalimu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
(Ajira mpya Wizara ya Afya) May 2021. As for MoHCDGEC announces vacancies for graduates to apply through the website www.moh.go.tz and other media like magazines based on the cadres as per...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini humu ndani, Mimi ni dereva natafuta tajiri mwenye gari ndogo, nifanye nae kazi mkataba ama hesabu ya siku. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wapendwa naomba msaada Nina idea kubwa ya kipindi Cha radio naomba kujua wapi naweza kuanzia kuonesha idea yangu hii
0 Reactions
3 Replies
530 Views
Habari zenu ndugu zangu, Kwanza niombe radhi kwenu, ni hali ya maisha kuwa ngumu jamani. Leo nimeona bora nije kwa ndugu zangu humu huenda nikapata msaada ili nipate ridhiki ya kukizi maisha...
11 Reactions
40 Replies
8K Views
Ndugu zangu, naombeni kazi yoyote iwe ya kwenda na kurudi, elimu Kidato cha Nne, naweza upishi, kufua. Pia, duka aina yoyote na uwakala Niko Kilimanjaro/Mwanga
1 Reactions
2 Replies
734 Views
Jina langu naitwa #####, ni mkazi Wa Mbeya, kwasasa naishi mkoani Njombe taaluma yangu ni mwalimu. ELIMU: Nimesomea bachelor of arts with education Chuo kikuu cha Dodoma, na kuhitimu mwaka 2017...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Back
Top Bottom