Habari wadau!
Anahitajika mtaalamu wa video editing,awe anajua kuedit vizuri video na mzoefu, tuma sms kwenye namba hii 0687234549.
Note:awe mkazi wa Daressalaam.
Greetings everybody!
Leo naenda kukufundisha ujuzi wa juu zaidi jinsi utakavyoweza kupata kazi kwa mtu fulani mwenye pesa au hata kampuni kubwa. Hapa inategemea tu confidence yako ipo vipi...
Habari wana jamii,
Naitwa Hamza natokea mkoa wa mwanza nilikuw natafuta kazi ya udereva nina uzoefu mwaka wa sita huu nimefanya kazi ya usafirishaj abiria manyara pia na mwanza nafanya private...
Habari za leo wakuu,kijana wenu naomba yeyote mwenye pikipiki kwa ajili ya bodaboda anipatie nimfanyie kazi kama dereva wake kwa hesabu tutakayokubaliana kwa uaminifu mkubwa kabisa.
Au kama kuna...
Habari zenu wanajf !
Nawasalimu kwa jina la jamhuri !
Barbershop iliyopo maeneo ya mikocheni inatafuta kinyozi mmoja na mdada mmoja kwa ajili ya majukumu ya barbershop. Sifa wawe ni watu...
Wakuu habari za wakati huu,
Nirejee kwenye kichwa cha habari, mimi nimuhitimu wa kidato cha sita na nimepitia mafunzo ya jeshi la kujenga Taifa (JKT) Mujibu wa sheria, kutokana na hali mbaya...
Hello fr
Nina website yangu ambayo nilitengeneza ili kujifurahisha tu pind sina muda wa kufanya.
Kwakuwa nilikuwa sina goal nayo nilianza kuweka mambo hvyo hvyo ila mwisho wa siku nikaamua...
Habarini. Kama kuna yoyote ana mdada wa kazi anayemjua anatafuta kazi anicheki PM.
Anahitajika kwenda kufanya kazi Ruangwa, Lindi. Muhitaji ni mwanamama mtu mzima mtumishi wa serikalini. Hana...
Naomba mtu mwenye ujuzi wa kuchoma kitimoto.
Kuna sehemu mpya nataka kuanzisha, nikimaanisha nina site nyingine.
Sihitaji mwanafunzi; nahitaji Fundi. Nauli ni juu yangu.
Nipo Tunduma Boda ya...
Marie Stopes Tanzania (MST), a Non-Governmental Organization, is a social enterprise and a leading provider of family planning, sexual and reproductive health care and allied services. MST is a...
Job Title: Journalism Trainer/Mentor
Location: Tanzania
Reports to: Senior Mentor Trainer
Duration: 12 months (with possible extension)
Closing date: 23 May 2021
Special requirements: Fluent...
POSITION DESCRIPTION:
North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit one (01) Project Manager to join North Mara Gold Mine team. The successful candidate for this role will report to...
Job Title: Data Manager
Job Location: Dar es salaam. Temeke District
Organisation: Asasi ya Uwezeshaji Tanzania – ASUTA
Asasi ya Uwezeshaji Tanzania – ASUTA working in partnership with FHI 360...
Title: Enrolment Manager
Category (cf Policy 5.101): Administrative Management and Technical Support
Reports to: School Director
Department: Admissions, Marketing and Communications
Start date: 1...
473 Government Jobs At Wizara Ya Afya, May 2021
byA3-Thursday, May 13, 20210 Comments
The Ministry of Health is a government ministry of Tanzania. Its central offices are located in Dodoma. It...
LOOKING FOR FIRST OFFICERS
We are looking for ambitious & forward-thinking individuals that believe flying is both a passion and a responsibility.
Requirements:
1. Tanzanian Commercial Pilot...
New Vacancies At Coastal Aviation, May 2021
byA3-Wednesday, May 12, 20210 Comments
Founded by ingenious entrepreneur Nicola Colangelo, Coastal started in 1987 as an inbound operator offering...
Hii ni research nlofanya alone, Unajua Elimu ya sasa imekuwa kama Biashara kuna kipindi facult flan huwa inatrend sana kisha inapotea mfano kuna wale watu wa petroleum enzi flan walitikisa kila...
Nina kijana wangu ndoto yake kua fundi wa magari naomba mwenye kujua garage nzuri kwa vijana zenye kazi nyingi mjini Dar.
0764 708 888whatsupp tu.
Kiasi cha fedha kwa mwenye connection ya moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.