Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari ya leo wapendwa, Mimi ni mjasiriamali najihusisha na usafi wa aina mbalimbali nimejikita zaidi katika uchafu sugu. Mfano: 1.Masink yote yaliyo kuwa na uchafu sugu Kama unjano...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu Mimi nimehitimu chuo cha Mkolani Foundation Organization baadae nilikuja kusikia chuo hicho kilifungiwa na serikali, nilikua napenda kuuliza mimi niliyehitimu kabla ya kufungiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau kazi hizo hapo mwenye sifa na aombe SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO (KARIAKOO MARKETS CORPORATION) S. L. P. 15789, SIMU: 2180678 Dar es Salaam. Tanzania. 27 March ...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Overview: Kariakoo Markets Corporation is an autonomous Government Institution established under the Kariakoo Market Corporation Act no 36 of 1974 (Revised by the Act No 16 of 1985, to manage and...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Aise! Sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40 min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass, Second interview inakuwa ya skype...
29 Reactions
504 Replies
72K Views
1. JOB TITLE: CIVIL ARTISAN II - 5 POSTS (RE-ADVERTISED) 4.0.2 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Packing of the railway track as directed by the supervisor; ii. To clear grass and bushes along the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana, umri miaka 27, ninaeishi dar es salaam, kutokana na changamoto za kutafuta kazi, nimeona kutumia muda wangu na nguvu zangu kuwasaidia watu mbalimbali katika majukumu yao ya kila...
1 Reactions
4 Replies
662 Views
Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika. Majukumu: Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
About the job We are Looking for TANZANIAN individuals with a diploma or bachelor’s degree in early childhood education and primary school education ONLY!!!! Teachers needed for Pre-School and...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25, muhitimu wa shahada ya ugavi na usafirishaji mwaka 2019 (Bachelor of Logistics and Transport Management) mimi ni moja kati ya vijana ambao...
42 Reactions
171 Replies
22K Views
Sisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba kujua mtu wa political science and public administration anaweza kufanya kazi ipi katika sector binafsi? Au yeye ni sekta ya umma tu? Naomba kuwasilisha
0 Reactions
65 Replies
13K Views
Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau alafu ukiwa unaomba shule mbona haiandiki hii Primary hii Secondary inaandika tu MFANO 1) Kilaka School 1 position History 2) Kinje School 1 Position Geography Hii inakuwaje maana wa Arts...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimeshuhudia jeshi la Magereza likiomba ajira mpya sio chini ya mara mbili kipindi cha Mwendazake lakini halikupewa hata mmoja na badala yake kuambiwa watumie wafungwa kwa hiyo wafungwa wapewe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, hope mko poa. Nimekuta mjadala wa vijina walikuwa wanamponda dogo mmoja, eti anajikunja kuandika application latter kali uku, wakimuambia kuwa Tamisemi hawajiangaishagi kusoma application...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikuwa naomba ajira ya ustawi wa jamii sasa sikujua kama ipo afya au ualimu nkachagua ualimu so nataka niedit iwe kwenyw afya nashindwa msaada kwa anayejua.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
EMPLOYMENT ANNOUNCEMENT Click below to download PDF FILE:
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom