About Us
As a global leader in beverage alcohol, our 200+ brands are part of everyday celebrations in over 180 countries. Our ambition? We want to be one of the best performing, most trusted and...
Human Resource Manager
Simba Supply Chain Solutions Limited and Simba Logistics Limited are looking for an astute, mature and reliable Human Resource Professional between the ages of 35 and 45...
Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 28. Elimu yangu ni shahada ya Takwimu na hisabati GPA 3.5 . Nikotayari kufanya kazi/ kibarua yoyote/chochote mahali popote.
Natanguliza shukrani zangu...
JOB OPPORTUNITIES
Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply:
1. Monitoring and Evaluation Officer- (1 Posts)
2. ITF GHS Project Manager- (1 Post)
3. ITF GHS Project Lab Officer- (1...
Overview
SOS Children's Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to Sos Children's Villages International, a worldwide child care organization that provides orphaned and...
Human Resource Manager
Simba Supply Chain Solutions Limited and Simba Logistics Limited are looking for an astute, mature and reliable Human Resource Professional between the ages of 35 and 45...
Habari zenu,
Mimi nimemaliza uhandisi wa chemia na pia nna master ya uhandisi wa dawa naomba msaada wenu kwenye connection za ajira ya aina yeyote.
Pia naweza kutengeneza vipodozi kwa yeyte...
Head; Personal Banking
Job Purpose
Provide leadership and ensure that the Personal Banking function is catering to the various needs of personal segment by offering adequate custom-made solutions...
Administrative Officer
Title: Administrative Officer
Reports To: Finance and Admin Manager
Assignment Type: Consultancy
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Length: March – October 2021
About JSI...
Naomba tu ushauri wa bure, huenda ukanipa mwanga. Mie yaani hadi leo hii nina interview more than ten Tanesco na kuna zingine najua kabisa hizi nimejibu well ila sijawahi hata kukosewa kuitwa kua...
Habari wakuu, natafuta kazi yeyote ile iliyo halila.
Elimu yangu, nimemaliza form 6 na niko chuo sasa(present). Imebidi nisimamishe masomo ili nitafute kazi ili nijikimu kwa ada na matumizi...
Habari zenu wadau wa Jamiiforums.
Swali Langu ni kwamba, ningependa kuuliza jinsi au kwa njia gani naweza kuwasilisha maombi ya kazi kwa njia ya posta haswa kazi za serikalini ambazo ndio hupenda...
Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Wanyama (Bachelor of Science in Animal science) natafuta fursa tajwa hapo juu ili kukuza uzoefu zaidi katika sekta ya mifugo,viwanda vya bidhaa zote za...
Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume usemi huu umedhijilika leo.
Wiki iliyopita nilibahatika kupata kazi kama revenue officer ofisi za halmashauri ya jiji baada ya kupitia mchakato mrefu na...
Habari za muda huu wana jamii?
Matumaini yangu wote mpo salama,wale msio salama basi Mwenyezi Mungu awape nguvu kwenye kipindi hichi kigumu mnachopitia.
Niingie kwenye mada moja kwa moja.Leo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndugu zangu niko hapa kuomba nafasi ya kuunganishwa mradi wowote wa ujenzi ili niweze kupata kazi ya kibarua sina taaluma ya uhandisi mimi ni mwalimu ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.