Ndugu zangu
Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania.
Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa?
Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
Habar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega amepokea kibali cha ajira mbadala cha tarehe 01 Februari, 2021 chenye Kumb. Na. FA.l701533/01,,B"l 34 kutoka kwa...
Tunatafuta Bwana Shamba awe na uzoefu wa kusimamia shamba ikiwamo kilimo, ufugaji, misitu na asali.
Shamba la eka 89 jirani na Ruvu Ranch ya NARCO awe na uzoefu wa irrigation.
Piga simu...
POST: ENGINEER II – 1 POST
POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION, WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES
EMPLOYER: Petroleum Upstream Regulatory Authority(PURA)
APPLICATION TIMELINE...
Habari zenu wakuu,
Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki, maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi Dar es Salaam.
Naombeni...
Hello wakuu wa JF,
Mimi ni kijana niliehimu mwaka 2018 (Bachelorof science with Education Geography and Biology) nimekuwa nikitafta nafas za kufundisha private schoos bila mafanikio!
Kwa sasa...
POST: ASSISTANT LECTURER – EDUCATIONAL PSYCHOLOGY (GUIDANCE AND COUNSELLING) – 1 POST
POST CATEGORY(S): EDUCATION AND TRAINING
EMPLOYER: Dar es Salaam University College of Education(DUCE)...
Habari wakuu,
Mimi mwanafunzi wa chuo cha ufundi Arusha, diploma ya umeme.
Natafuta ajira (party-time) ya kukidhi maitaji ya chuo.
Uzoefu wangu na elimu ni: secondary school; Don bosco...
Habari zenu.....
Mimi ni mkazi wa Dodoma mjini....pia ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesomea bachelor of arts with education (geography&history)
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza...natafuta...
Sifa
1. Uwezo mzuri sana wa kujieleza na ushawishi wa hali ya juu
2. Aliyetayari kufanya kazi yenye matokeo bila usimamizi
3. Mnadhifu sana na mwenye lugha laini wakati wote
4. Elimu kidato cha...
Habari, naomba nafasi ya kuuza duka la dawa maeneo ya Dar es salaam. Nina uzoefu na pia nina vyeti ambavyo vinavyotambulika na baraza la famasi.
Contact number: 0652602624
Job Title : Intern (2 position)
Reporting to : Research, Development and Programme Manager
Job Location : Dar es Salaam
Department : Research, Development and Programme Department
Duration ...
Wasalaam wakuu,
Kwanza poleni na kazi kwa ambao michongo imegoma mpaka sasa, na pia hongereni na kazi kwa ambao michongo imeenda sawa.
Wakuu, mm ni mhanga wa kukosa ajira, zaidi mhanga wa maisha...
Maisha ni kitendawili kigumu ambacho kwa sisi wanadamu kukitegua tunashindwa kabisa kutokana na ugumu wake.
Ama kwa hakika mambo hayajawa mepesi mpaka ugumu ukukumbatie.
Ni mwaka mwingine bado...
POST: TUTOR II (FRONT OFFICE OPERATIONS)(RE-ADVERTISED) – 1 POST
POST CATEGORY(S): TOURISM AND TRAVEL
EMPLOYER: NATIONAL COLLEGE OF TOURISM NCT
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-17 2021-03-02
JOB...
PURPOSE OF POSITION
To effectively manage the Supply Chain function in line with World Vision’s procedures in order to support timely implementation of World Vision Programs/Projects that will...
Mimi Ni registered nurse, natafta mtu wa kubadilishana naw kituo Cha kazi, aje Mara Tarime DC, Mimi niende Dodoma, au Dar es salaam, kwa maelezo 0758388618
Wakuu nawasilisha kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mnipe ushauri kama mdau wenu. Nilifeli kidato cha nne mwaka 2018 mpaka sasa hivi nipo nipo tu sina cha kufanya naishi na wazazi wangu wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.