Mpishi mzoefu na aliebobea katika mapishi ya aina mbalimbali anahitaji kazi.Iwe ajira ya kudumu au part time;nyumbani au hotel/mgahawani.Pia nafundisha wale wanaotaka kujifunza mapishi.
Wasiliana...
Habarini wapendwa poleni na majukumu.
Tafadhali kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira baadhi ya changamoto ni ukosefu wa marefa au conection au mdhamini eneo la mradi.
Tafadhali kama wewe...
JOB OPPORTUNITIES
Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply:
1. Risk Data Analyst- (1 Post)
2. Head, Personal Banking- (1 Post)
3. Senior Relationship Manager, Institutional...
Habari zenu jamani, hakika Dunia tambalabovu niukweli kwamba maisha yamenipiga nimepigika nipo chapachapa. Hivyo ninaomba kwaanaeweza kunisaidia Nipate shule yoyote ya kujitolea sitaki kulipwa...
Habari ndugu zangu,
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 Me ninaishi Dar es salaam, nina stashahada ya ugavi ya chuo cha biashara. Ni muda nimeangaika na ajira mpaka ilifika hatua nikaamua...
Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
Habari Wakuu Mambo vipi?
Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba...
Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote.
Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia...
Habari zenu ndugu,
Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and...
Habari zenu
Nimefikilia kuanzisha biashara itakayoniongezea kipato mawazo yangu yamefikia nifungue sallon ya kiume tu nimuweke mtu mimi huku niendelee na kishe nyingine.
Sasa msaada wangu ni huu...
Name: Kanuti Daudi
Qualifications: Bsc in Chemistry
Work experience: 4 years on Quality control/ Quality Assurance assistant Head.
Searching Job vacancy related to above details.
Natafuta kijana wa kiume anayejua kutunza ng'ombe. Awe anajua kukamua maziwa pia
Mahali: Bagamoyo
Mshahara: 60000 kwa mwezi + atapewa chumba cha kukaa + atapewa chakula
Kama unaitaji nchek pm...
Position: Business Development Manager
Reporting to: General Manager dotted line to Chief Commercial Officer
Responsibilities:
Oversee entire sales of GSM Home Products countrywide channeled to...
Naitwa Mwl. Samwel Raymond Mfaume, Nilihitimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya ualimu ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2019 kwa masomo ya...
Habari za leo jamani mimi ninakuja na suala lingine tofauti, nimekosa wapi ninaweza kupata msaada, nilikuwa natafuta kazi/ajira imekuwa ngumu kwajili ya kipindi hichi cha corona na hali ngumu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.