Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
AJIRA 800+ MRADI WA STIGLERS GORGE https://www.ajiraleo.com/2021/01/841-new-jobs-stiglers-gorge-project-at.html
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Wametuma majibu ya job application na kusema kuwa interview itafanyika Dodoma zilipo ofisi zao na kwa watakaoshindwa kufika ofisini basi wapange muda wa kufanyia interview kupitia Skype na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi mwalimu wa Mathematics na ICT, napatikana Iringa. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. Nimehitimu shahada mwaka 2016. Kwa mawasiliano nitafute kupitia namba hii: 0764125128
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Asalaam Alaikum. Ajira Ajira Ajira. Mafundi Waashi (Masons) waume kwa wake wenye uzoefu wa kazi na wanaoweza kufanya kazi kwa kujituma bila kusimamiwa.Wawe na shauku na uwezo wa kujifunza na...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Kama unafahamu namna watu wanaweza kupata kazi/ vibarua mradi wa bwawa la umeme mto rufiji kwenye hifadhi ya selous ,weka taarifa tafadhali wazee wa fursa waruke nayo.
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Wadau habarini Nina changamoto ya kujiuliza je nimwandikie historia ya suala langu katibu mkuu kiongozi au nimwandikie maneno gani aweze kulegeza masharti ya kuniajiri. Nimepata barua toja kwa...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Natafuta kijana wa kazi ya shamba ya kutunza Nguruwe.Nahitaji awe na uzoefu wa kazi hii hasa ulishaji,upandishaji na utunzaji wa watoto. Shamba lipo Morogoro manispaa. Tuwasiliane kwa sms kwa...
0 Reactions
2 Replies
945 Views
1. JOB TITLE: Driver II (2 POSTS) QUALIFICATIONS Holder of Certificate of Secondary Education (CSE) or Advanced Certificate of Secondary Education (ACSE) with a valid driving license grade E and...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wapendwa habari zenu. Nimevumilia nimechoka sasa nimekaa sana nyumbani mpaka nimechoka hata senti inanipiga chenga jamani. Naombeni kazi sichagui yoyote nafanya muhimu mkono uingie...
2 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari wakuu. Anatafutwa mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa za serikali kwa ajili ya kumsaidia mdau aliyeko nje ya nchi. Unaweza kuwa mkoa wowote lakini ukiwa Dar au karibu na Dar itakuwa bora...
1 Reactions
0 Replies
881 Views
Reporting Line: Senior Manager, Institutional Banking Location: Northern Zone – Based in Arusha (Looking after Arusha, Kilimanjaro & Manyara) Job Purpose: The objective to grow and retain a...
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Elimu ni stashahada ya uhasibu ila kazi yoyote nipo tayari naomba msaada ma boss mliopo humu Mimi binti wa miaka 25 naishi Kibaha, Pwani 0628882267 Asante!
1 Reactions
11 Replies
2K Views
TPC Ltd Jobs 2021/ TPC Ltd Vacancies 2021 TPC Ltd is one of the fast-growing sugar producing companies in Tanzania. The company is situated at the foot of Mount Kilimanjaro, 22kms south of Moshi...
1 Reactions
0 Replies
547 Views
JOB VACANCY JOB TITLE: Accountant Officer Location: Dar es salaam In an effort to stream line operations, Serene Microfinance Ltd seeks to recruit qualified Accountant Officer to work...
1 Reactions
1 Replies
811 Views
Wanahitajika wadada 3 kwa ajili ya kazi kwenye salon za kiume. Qualities: Wawe smart na presentable. Age ni 20-27. Salon ziko Musoma, so anybody yuko willing kufanya kazi au anajua mtu yoyote...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Lubricant Plant Chemists (2 Position) Company: MOGAS Tanzania Ltd Location: Tanzania Closing Date: 2020-03-31 OVERVIEW MOGAS is a leading integrated downstream oil marketing company in East &...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF Samahani ningependa kuuliza kwa mwenye taarifa zozote kuhusu hiki kitu, Who has the upper hand kwenye kutoa final candidates wa ajira husika katika hizi taasisi zinazo fanya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom