Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Fursa ya Ajira kutoka DSJ Tuma CV yako kwenda: application@uti.ac.tz Sambaza upendo huu kwa uwapendao
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Mwishoni mwa mwaka jana chuo kikuu cha ardhi kilitangaza nafasi za kazi na mwisho wa kutuma maombi ilikuwa ni tarehe 27/12/2020. Naomba kama kuna waliofanikiwa kuitwa kwenye...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
3 Reactions
0 Replies
780 Views
Wadau natumai mu wazima. Nimeziona kazi za Steigler Gauge zile 800+ nina vigezo vya kuomba . Nimepata changamoto kwenye kutuma hzi application. Naombeni msaada ili nitume: Ila kwenye tangazo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JOB VACANCIES See the document below for more information:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni binti umri miaka 27, Naomba ambae ana uwezo wa kunisaidia kupata ajira yoyote inayohusiana na usimamizi wa rasilimali yoyote Ile ikiwemo watu na kadhalika nina hiyo experience. Mkoa...
1 Reactions
1 Replies
667 Views
1. JOB TITLE: DATA OFFICER (20 Posts) WORKSTATION: Dar Es Salaam REPORTING TO: Facility In-charge Duties and Responsibilities: Data Entry Officers will be under the direct supervision of a...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa humu ndani Kuna watu wema sana Mimi nimefanikiwa kupitia jukwaa hili hili 🙏🙏🙏 Sasa Leo nimekuja na ombi jingine 😭 Kama wahitaji muhasibu anaeweza kazi bila kusimamiwa Kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
IRENE HAIR BEUTY SALON NAFASI YA KAZI location:kigamboni,ferry [emoji419]Anahitajika dada au kaka anayejua kusuka vizuri mitindo yote [emoji139]‍♀️ [emoji419]awe anajituma mchapakazi na kuwahi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
mambo vip wakuu! nimekumbuka kisa kilichoniumiza sana.. miaka iliyopita nilifaulu kupata kazi kwenye shirika la umma lakini ilikuwa mkataba.baada ya mkataba niliendelea kusaka ajira hapa na pale...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Serikali ina kazi nyingi tu na inaajiri sana karibu kila siku, na inaajiri watu wa status tofauti kabisa. Siyo kila serikali inapoajiri lazima itangaze publically.Hapana. Serikali ina...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Natumaini muwazima wa afya. Mimi ni binti nina uhitaji wa kazi yoyote iliyo halali. Nina Bachelor of science in Forestry kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine(SUA) Sina uzoefu wowote, nina...
6 Reactions
75 Replies
7K Views
Mimi ni binti niliyehitimu masomo ya uandishi habari na mawasiliano kwa uma, ninauzoefu na kazi kwa mwaka mmoja,, msaada naweza kufanya kazi yoyote halali yenye maslahi lengo kujikimu kimaisha ...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu natumai mko poa. Nauliza mishahara ya hawa watu chini kwa mwezi. (Gross salaries/Net Salaries). 1. PUMP OPERATORS 2. ELECTRICAL TECHNICIAN Kwenye PumpStations za mashirika kama DAWASCO...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Helasita Secondary School iliyopo wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam bado tunahitaji mlezi wa vijana wetu (Patron) hivyo bado nafasi ipo wazi tunaendelea kumtafuta mtu huyo. Priority ni kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MOHCDGEC) with financial support from CDC/PEPFAR is looking for enthusiastic, creative and energetic individuals whom will...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
The IRC is seeking a motivated and enthusiastic Education M&E Officer to carry out M&E activities for the UNHCR Education project in Kibondo and Kasulu / Mtendeli& Nyarugusu Refugee Camp. Working...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
JOB VACANCIES Click below to download pdf/ BONYEZA hapo chini kupakua pdf ya ajira: BUNDA- TANGAZO LA AJIRA. Pdf
2 Reactions
1 Replies
853 Views
Musoma Utalii Training College is a college registered by Ministry of Education, National Council for Technical Education (NACTE) and Vocational Education Training Authority (VETA). We are...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
POST: PROJECT ENGINEER II – 5 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: Rural Energy Agency (REA) APPLICATION TIMELINE: 2021-01-28 2021-02-10 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Back
Top Bottom