Habari wanazengo,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ni dereva,ombi langu kwenu nahitaji gari aina ya hiace ya hesabu iwe kwa mwezi au wiki na itatumika tanga mjini kama daladala hesabu yake...
JOB VACANCY
JOB TITLE: Airport Services Agent
Location: Zanzibar
About the role:
We have an exciting opportunity to join our team as an Airport Service Agent. This role is based at our station...
JOB VACANCIES
Click on each below to read more and apply/ BONYEZA kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply:
1. Human Resources Officer- (1 Post)
2. Senior Manager – Monitoring and...
JOB VACANCIES
Click on each job below to read full details and apply/ BONYEZA kila moja hapo chini kusoma maelezo kamili na kuapply:
1. Cashier- (1 Post)
2. Stores Controller- (1 Post)
3...
Hello wadau na wakuu, waajiri na waajiriwa, nimefungua uzi huu maalum kabisa kwa ajili ya kupata mwongozo mzuri na namna nzuri ya kuomba kazi kwa njia ya kutuma emails (sending cover letters, CV...
JOB VACANCIES
1. JOB TITLE: TRUCKS DRIVERS (2 POSTS)
The Company is looking for an experienced Truck Drivers to serve our supply chain logistics department in a safe and timely manner. He/she...
Mkulazi Holding Co. Ltd (MHCL) is a company owned by the National Social Security Fund (NSSF) and Prisons Corporation Sole ( ). The Company was established on 6th September 2016. The main...
Moja ya kikwazo cha kutokupata kazi au kuchelewa kupata kazi basi huenda ikawa ni referees wako.
Unaweza je kumuweka mtu kuwa refa wako wakati hana namba zako, yani mawasiliano baina yenu ni...
JOB VACANCIES
Click on each job to read full details and apply/BONYEZA kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply:
1. Project Director- (1 Post)
2. Business Analyst- (1 Post)
Jhpiego...
Wakuu ni matumaini yangu mko salama,
Natambua JF ni platform ambayo inakukutanisha na kila aina ya watu ikiwa ni kimawazo au kwa misaada mingine mbalimbali.
Nirejee kwenye mada halisi. Nimekuja...
Habari,
Tunatafuta mafundi wawili wanaoweza kushona vizuri nguo za kike na za kiume. Ofisi ipo Dar es salaam kata ya GOBA wilaya ya ubungo. Ofisi ni mpya. Mwenye connection tuwasiliane inbox. Ahsante
Hello wakuu,
Kuna jamaa mtaani wamedai wamepata kazi bandarini, ambayo malipo yake ni Tsh 18,000 kwa siku. Hii ni kweli jamani? maana jamaa wana elimu ya kawaida tu wengine form4 na wengine std7...
Anahitajika kijana wa jikoni,
Awe mtaalam wa kupika chipsi, mishikaki, supu, na mazaga zaga yote kwa ujumla. awe mbunifu, sehemu ya biashara ni Tabata (Dar) ni kwenye bar.
Awe na nia na kazi...
Anahitajika web developer haraka sana. Awe na uwezo wa kufanya coding from scratch ili atengeneze website ya chuo yenye muonekano kama hii hapa (bofya linki)
https://www.bethel.edu/seminary/...
JOB VACANCIES
Click on each below to read full details and apply/ BONYEZA kila moja hapo chini kusoma maelezo kamili na kuapply:
1. Administrative Assistant- (1 Post)
2. Accounting Technician -...
Habari wakuu, naamini JF ina watu muhimu na makini sana kwa nchi hii.
Mimi nafanya kazi katika Auditing firm hapa dar es salaam kama Tax Accountant, lakini pia nafanya external Audit maana ukiwa...
Ndugu zanguni anahitajika kijana wa kuuza chipsi mwenye kuweza kutoa sahani zaidi ya 20 kwa ndoo moja.
Eneo ni Mjimwema (Kigamboni)
Posho ni 5000 kwa siku kula mchana na usiku ni ofisini
Mengine...
Position: Clearing and Forwarding Manager
Qualification and Experience:
Diploma in Clearing and Forwarding
5 years of experience in shipping and clearing and forwarding.
Responsibilities...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.