Naitwa Omari Juma napatikana Mtwara, Nanyumbu, Mangaka elimu yangu ni ya sekondari lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo. Naomba mtu yeyote mwenye kazi anisaidie ili niweze kuishi kama vijana...
Natafuta vijana watano walio siriyaz na kazi tuungane tufanye biashara. Itakuwa ni biashara ya chakula.
Sisi ndio wafanya kazi na sisi ndio maboss. Niko Arusha kama utapenda ku join karibu...
APHFTA is an umbrella organization of the private (self-sustaining) health sector in Tanzania established in 1994, as a Non-State organization. It serves as a public forum for the private health...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 44
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Ibara ya 112(1) ya Katiba ya...
FREELANCE BUSINESS EXECUTIVES
Industry : Print /Digital Media Job Function : Sale / Business Development
Job Experience Level : Mid Level
Minimum Years of Experience : 2-3
Minimum Academic...
TITTLE: EXECUTIVE CHEF – with International Experience
LOCATION: GIBBS FARM, KARATU, ARUSHA, TANZANIA
SUMMARY
Executive Chef for a five-star lodge that has a 10-acre organic farm, 30 acres of...
Job title: GRAPHIC DESIGNERS (2 position)
Location: ARUSHA, Head office
Reports to: Managing director
Projects: SOKOKUUONLINE AND TANCH EXPRESS APP
SUMMARY:
AA TANCH holding company ltd is a...
Enzi zetu ukiwa na ndugu kitengo fulani atakufanyia mchongo utapata ajira kwenye taasis yake. Leo hii ukitaka ajira ya uma lazima utume maombi tume ya ajira muitwe watu elfu ishirini mpambanishwe...
Wadau leo nataka kujua mambo kazaa mawili matatu katika Ajira apa Tanzania.
1. Connection ni nini?
2. Connection zinapatikana wapi?
3. Ni nani anastahili kupewa connection na yupi hastahili...
Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste upo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi 2 za wahudumu na mpishi 1.
Waombaji wawe wakazi wa Kilimanjaro, Muombaji awe msafi, anayejituma na...
JOB TITLE: Graphic Designer (2 Posts)
Location: Arusha- Head Office, Tanzania
Reports to: Managing director
Projects: SOKOKUUONLINE AND TANCH EXPRESS APP
JOB PURPOSE:
To create visual...
Nataka kuondoka nyumbani sina pakuanzia
Nahitaji kujitegemea wandugu mwenye connection ya kazi yoyote anipe sichagui kazi yoyote nipo tayari
Nina umri 24
Nipo. Mkoa Tanga
Nina diploma ya...
JOB VACANCIES
JOB TITLE: Head Chefs (2 Posts)
We are looking for two head chefs to work in our lodges at Serengeti and Ngorongoro
The candidate should be familiar with:
● Hot kitchen
●...
JOB TITLE: Project Engineer
Number Posts: 1
Reports to: Project Engineer
Location: Dar es salaam, Tanzania
Main Duties and Responsibilities:
● Prepare Annual Capex Plan
● Identify...
Kama kichwa cha thread kinavyosema hili shirika la TASAF lilitoa nafasi za kazi katika kada mbalimbali toka mwezi juni tukaja kuitwa kwenye interview kupitia utumishi mwezi November.
Ila toka...
Ndugu zangu kama kuna mwana jf yeyote ana kazi zake zozote za kiufundi au ana connections na mafundi nipo tiyali kufanya kazi yeyote ya SAIDIA FUNDI.
Kazi yeyote ile ya kiufundi nitafanya kwa...
Kwa wale wana jf wote humu jukwaani kama kuna mtu yeyote anahitaji mtu wa kumsaidia kazi zake zozote zile za SAIDIA FUNDI tuchekiane tuu
Mimi nipo dar kwa sasa naishi chanika
Mwongozo hapo juu ni kijana (25) natafuta kampuni ya Mambo ya shipping nifanye field Mara baada ya kumaliza semister 2 mwezi wa 6
Nipo mwaka wa pili (Diploma) course ya SHIPPING AND PORT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.