Habari za leo ndugu zangu hope mko fine.
Poleni na mihangaiko iliyo na changamoto ya kuhakikisha mnapata daily bread.
Niko hapa leo kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi...
Wakuu namatumaini yangu mu wazima wa afya.
Nisiwachoshe sana kichwa cha habari kinajieleza,nimemaliza masomo yang ya elimu ya kati katika fani ya uhandisi umeme kutoka DIT,naomba mwenye chanel...
Habari za majukumu ndugu wanajukwaa?
Mimi napenda kufahamu zile decent websites za kuomba kazi nchi za nje kama Norway, Sweeden, Canada, Turkey, Holland, Malta, Nk.
pia napenda kufahamu kwa wale...
Nataka kuomba kazi kupitia ajira portal na ndiyo mara yangu ya kwanza kutumia huu mfumo..
sasa kuna mambo naomba kufahamishwa ili nisikosee..
Vyeti nikishaviscan hasa kile cha form four na form...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
THE MINISTRY OF HEALTH, COMMUNITY DEVELOPMENT, GENDER, ELDERLY AND CHILDREN
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly...
Tarehe 31.12.2020
Kampuni ya pivotech ilitoa vacancy ya nafasi 5 za Field Operation Officer wakasema ndani ya siku 14 usipopigiwa Simu ujue haujafanikiwa kuitwa napenda kujua kama weshaita baadhi...
Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu Diploma ya Uhasibu. Ninaomba ajira ndugu zangu Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka 2.
Naishi Kibaha Mlandizi kazi popote nipo tayari 0628882267.
Daktari (MD) anahitajika eneo la Kiluvya, preferably ambaye anaishi maeneo ya Kibaha, Kibamba, Kiluvya kwa mawasiliano zaidi piga 0758918144 au tuma application kupitia e-mail jndasika3@gmail.com
Naomba kuuliza hawa TANAPA wataita lini tena usaili wa nafasi za kazi kwa kada zilizobaki (waliokuwa shortlisted toka March 2) na tangazo za kuhairisha likatolewa March 17 mwaka huu.
Maana kama...
Baada ya kuandika uzi wangu nimepata udhamini wa tshs. 600,000/= kutoka kwa Mtanzania mwema, kwa kweli watu wema bado wapo wengi sana Ahsante sana kwa msaada huu.
Kutokana na kupata fedha hii...
We are currently seeking to employ female gender trainers for the MAISHA study; a cluster randomised controlled trial to address intimate partner violence in Mwanza City. As part of the study, a...
Job Category: Transportation
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job: 10 January 2021
Duty Station: Tanzania
Posted: 05-01-2021
Requirements
Job Status
No of Jobs: 8
Start Publishing...
Kwajina naitwa Japhar Bakar ninamiaka 23. Elimu yangu ni kidato cha nne tu nilimaliza mwaka 2017. Baada ya kumailiza kidato cha nne nilifanya kazi kwenye duka la baba angu, baada ya hapo nilifanya...
Hello there!
I am competent, skilled and experienced nursery teacher from Feza Zanzibar. (4years)
Currently, I'm in mainland and looking forward to teach at any Nursery school.
Thanks.
Nilifanya oral na written interview ya TASAF, ila mpaka leo imekuwa kimya.
Kwa mwenye taarifa yoyote atujuze kama watu walishaitwa kazini au tuendelee kusubiri.
Adios!
Hello, hope your great.
Am urgently lookig for a job, i have a bachelor degree of commerce in accounting and professionally am a CPA T. I have 2 years working experience in accounting and...
Habari wapendwa nipo na dada yangu ni msusi mzuri tu wa nywele za aina mbali mbali pia tofauti na kipaji chake amesomea Secretary certificate only pia kutokana na ugumu wa kupata kazi anatafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.