Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wadau habari za asubuhi, Kama ilivyo mm ni muhanga wa kukosa ajira miongoni mwa vijana wengi hapa Tz, hivyo ninaomba kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi anisaidie, popote pale ninafanya kazi...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
[emoji120][emoji120]
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Wapendwa natafuta ufahamu, ujuzi na uzoefu kwenu, kama maelezo hapo juu. Mazingira ya ajira katika nchi nyingi za kiafrika ni ngumu na si kwetu Tanzania pekee. Kumetokea vijana wengi wanatoka...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari za leo wakuu na pia shikamooni wakubwa. mimi ni kijana(kiume) mwenye almost 25yrs, na ni graduate wa diploma ya medical laboratory science tangu 2018. nimefanya kazi katika facility...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu. Mimi ni Graduate niliyehitimu course yq uuguzi na ukunga Diploma(2019) Dhumuni la kuja hapa ni kuomba connection au msaada wa kazi inayohusiana na course yangu kama kuuza...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari ndugu, Kuna kampuni moja ambayo nilikuwa nafanya nayo kazi ila sikwenda kazini siku tatu baada ya kuugua ghafla nilipewa ED na daktari ya siku tatu baada ya kumpa taarifa boss wangu...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
1. Accountant 2. Finance Manager 3. Customer Services Import/Export 4. Equipment Control Executives 5. Shipping Documentation Executives 6. Shipping Documentation Manager Qualification: ● 5...
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka anaitajika mtu mwenye uwezo wa kuandaa michoro ya picha. Sifa uwe na PC pia uwe na speed ya kuandaa michoro isiyopungua mitatu kwa siku Kama unajiona unaweza...
0 Reactions
9 Replies
891 Views
The Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) was established by the government notice No.254 published on 26th August, 2005 to take over the functions which were...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Job Title: Driver (2 posts) Duty station: SOS Children's Village Zanziba (Unguja and Pemba) Reporting to: HR cum Admin Officer Duties and Responsibilities: ● Fulfills the Transport Needs for...
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Habari Wanajamvi mimi ni mhitimu wa chuo, nimemaliza chuo, nimesoma uwalimu level ya degree mpaka sasa ni mwaka wa tatu sijafanikiwa kupata kazi kinachonisikitisha mzazi wangu anaumwa na...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
1. JOB TITLE: ADMINISTRATIVE ASSISTANT- (4 POSTS) Location: ( Chalinze, Ubungo, llala and Kinondoni Councils) Roles and Responsibilities: ● To work as an administrative assistant for all...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Overview Air Tanzania Company Limited (ATCL) is implementing its five years Corporate Strategic Plan (2017/2018-2020-2021) which includes the network expansion in local, regional and international...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu Naomba kuuliza hizi kazi zilizotoka za wizara ya afya maombi yanatumwaje, kwa njia ya posta au njia gan? Naomba kueleweshwa Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Jamani ndugu mwenye connections ninauzoefu wa masuala ya security kiujumla kuongoza mitambo ya CCTV na kadhalika natafuta kazi hiyo. Nina ujuzi wakutosha kufanya kazi hiyo kwa maslahi ya mmiliki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni Elimu 4rm 4. Chuo NIT nina cheti cha VIP Lesen class A B C1C2 C3 D Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Kama mnavyojua ndugu zangu, hali saivi haiko poa kabisa lakini kama washika dau hebu tusaidiane ni mbinu gani unaweza kutumia kutafuta na kuipata pesa kupitia watu ukiwa huna ajira. Hebu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wanandugu. Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti. Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding Namba yangu hii 0763329715
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Syrup Room and Water Treatment Team Leader Job at Coca-Cola Kwanza - Career Opportunity in Tanzania Overview Job Category: Administrative Job Type: Full-Time Deadline of this Job: 18 January...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom