Habari za wakati,
Umoja College ni taasisi binafsi ya utafiti na elimu yenye ofisi zake katika Mkoa wa Kilimanjaro.Umoja College inatoa huduma za elimu,utafiti na ushauri katika nyanja za...
Mambo yamekaa Kona kila iitwapo Leo Mambo yanazidi kuwa mabaya tu serikali inaahidi kitu lakini kinakuwa hakina muendelezo wake.Mnaenda kufanya interview na mnafaulu lakini kazini hamuitwi kazini...
Mm ni kijana wa miaka 30 ni chef mzoef wa vyakula vyote vya kiswahili pamoja na bites zote na pia naweza kutengeneza burger, pizza, all types of fried rice and many more pia naweza kuandaa menu na...
WAKUU HABARI ZENU
Kutokana na tatizo la Ajira ofisi nyingi wanataka watu wenye experince angalau ya mwaka mmoja na mimi sina huzoefu wowote. Kwaiyo nawaomba member wote wa field ya SOCIAL...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,heshima zenu wote poleni na majukumu ya hapa na pale.
Natafuta gari hesabu /mkataba Uber/Bolt/Ping/ hata kumuendesha mtu binafsi /kampuni napatikana Dar es...
JOB VACANCY
JOB TITLE: Grader Operator
Location: Geita Gold Mine, Geita
Job purpose:
The Grader Operator will carry out grading of varying surfaces, both underground and surface, and...
Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua...
Habari zenu wanajukwaa!
Haya ni maumivu makubwa sana kwa umma sijui ni private issue ila ninaliona kuwa ni janga kubwa sana tuendako.
Yaani nineshangaa sana ajira nafasi 21 kanda ya Engineer two...
The Salesian of Don Bosco society is one of the largest orders of the Catholic Church that provides education and human development programs for poor, disadvantaged and abandoned children and...
BACKGROUND OF TADB
Tanzania Agricultural Development Bank Limited (TADB) is a Government Institution established under the Companies Act, 2002 and licensed under the provisions of the Banking and...
Overview
EA Brothers Co. LTD wishes to invite competent, qualified and dedicated Tanzanians to fill in the vacancy position of Quantity Surveyor currently available in the company.
1. JOB TITLE...
HELASITA SECONDARY SCHOOL
JOB VACANCY TO BE FILLED
SCHOOL BACKGROUND
Helasita Secondary School is a boys’ secondary school located at Mtoni Kijichi, in Temeke Municipality, Dar Es Salaam...
The School is looking for highly qualified, academic and professionally competent teachers and support staff to fill the following vacancies.
Helasita Secondary School is a boys’ secondary school...
Habari za leo,
Naitwa John bendera, mkazi wa kigoma ila kwa sasa nipo mkoani Singida.
Ni kijana mwenye umri wa miaka 22
Ninataguta kazi yoyote ila iwe halali tu
Elimu: Sijafanikiwa kufika mbali...
Habari zenu...
Mimi ni mhitimu wa chuo (2020) nilisoma BA.education katika chuo kikuu cha Dodoma..pia ni mkazi wa Dodoma
Kama mnavyojua maisha baada ya chuo huwa ni magumu kidogo kwa wahitimu...
Background
The UN Resident Coordinator’s Office (RCO) in Tanzania supports the Resident Coordinator in promoting attainment of the Sustainable Development Goals and the Africa Agenda 2063. It...
Wakuu heshima kwenu wote mimi ni kijana niliyehitimu katika chuo cha ufundi VETA katika fani ya offset machine printing kama operator nilikuwa naomba kuunganishwa/ kufamishwa mahali napoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.