Habari jamii forum,
Kama kichwa cha Habari kinavyo sema mimi ni mhitimu chuo cha SUA mwaka 2016 bsc environmental sciences and management sijapata kazi na msoto mtaani unaendelea kuwa mkubwa...
Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai
Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba
Hapo shamban...
Job Title: Human Resources Business Partner
Reports to: Head of Human Resources & Administration
Responsibilities
Consult with line management and provide daily HR guidance
Oversee employee...
Vacancy: Human Resource Business partner
Ref: 2020-03
Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the leading provider of accessible specialized health services in...
Jamani wapendwa habari zenu...
Nakuja na ombi lilelile bado sijapata kazi mpaka sasa hivi naomba msaada jamani nipate kazi yoyote mambo hayaendi.
Nimesomea ualimu ngazi ya shahada lakini mpaka...
SOS Children’s Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to SOS Children’s Villages International, a worldwide child care organization that provides orphaned and...
Watanzania tuwe wabunifu kuhusu suala la ajira, nchi haiwezi kuajiri wasomi wote cha msingi ni kuchangamkia fursa za kibiashara.
N.B Kilimo ndio uti wa mgongo fanya kazi kwa bidiii na kuwa...
Habari zenu wakuu.
Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata.
Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku...
Wakuu habari za wakati, natumai mko salama kabisa.
Mimi ni muhitimu wa kozi ya ununuzi na ugavi ngazi ya shahada (Bachelor in Procurement & Logistic Management) kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha...
Overview
BRAC is one of the world’s largest development organisation having extensive development programmes globally. BRAC’s vision is a world free from all forms of exploitation and...
Wakuu Mimi nahitaji kujitengenezea wasifu wa kuwahi kufanya kazi na mashirika yanayotoa misaada ya kibinadamu hasa Wakimbizi lakini Kila nikijaribu kuomba nafasi ya kujitolea sifanikiwi tatizo...
Habari wakuu!
Mm ni mzazi na mlezi!! Vyuo vya maendeleo ya jamii (FDC)! Ni Vyuo vya serikali ambavyo vipo chini ya usimamizi wa VETA! Vyuo hivyi vinatoa mafunzo ya ufundi stadi kama ya Vyuo vya...
Job no: 535967
Contract type: Temporary Appointment
Level: NO-4
Location: Tanzania, Uni. Re
Categories: NO-4
UNICEF works in some of the world’s toughest places, to reach the world’s most...
Tetra Tech International Development Services (International Development) headquartered in Arlington, VA is currently accepting expressions of interest from qualified candidates for a potential...
Mimi ni kijana wa miaka 26 natafuta kaz ya udereva nikiwa nimesoma NIT VIP nikiwa na leseni yenye madaraja ya B,D,E ,C1,C2,C3 na F nina uzoefu wa miaka 4 na pis no operator mzuri wa forklift.
Kwa...
Overview
Good Neighbors is an international humanitarian development NGO founded in Korea in 1991. It was granted General Consultative Status from the United Nations Economic and Social Council...
Chief of Party for the Tanzania C3HP HIV/TB
Job Description
lntraHealth International is a US based international NGO with offices in over 30 African countries, including Tanzania. IntraHealth is...
TITLE: Director of Finance and Operations
LOCATION: Dar es Salaam, Tanzania
*Locals preferred, but open to International Assignees
Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation is a proven leader...
Habari wana jf,
Naitwa Frank naishi chanika dar es salaam naomba mabosi zangu wenye biashara zenu kwayoyote anaeitaji kijana kwajili ya masoko (kutafuta wateja) basi nipo hapa Nina uzoefu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.