THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref.No.EA.7/96/01/K/320 18thNovember, 2020
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of the The Mwalimu Nyerere...
Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa.
Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali.
Nipo na hali mbaya sana wakuu.
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref.No.EA.7/96/01/K/319 16th November, 2020
On behalf of University of Dar es Salaam (UDSM), Tanzania...
Habarini wadau,
Natumaini Mnaendelea vyema hivi karibuni mtandao wa ajira nchini wa BrighterMonday umetangaza kuwa utafunga shughuli zake nchini.
Kwamba Shughuli ambazo zilikuwa zinafanywa na...
Nikiwa mtaani,
Katika muendelezo wa kampeni huku wagombea wakijinadi kwa sera zao mgombea mmoja aliamua kutangaza ajira za walimu kama ilivotokea.
Baada ya hapo maombi yalifanyika huku watu...
Habari, Natafuta nafasi ya kazi ya pharmacist asistant (pharmaceutical technician)
Elimu: Diploma in pharmaceutical science (3yrs)
sehemu ya kazi: Hosipitali, Pharmacy,Dukanla dawa Muhimu
Uzoefu...
BRAC Tanzania
BRAC is one of the world’s largest development organization having extensive development programs globally. BRAC’s vision is a world free from all forms of exploitation and...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mi ni kijana wa Kitanzania nadhamira yangu kubwa ni kutaka kuthubutu kwenda nchi za ng'ambo kutafuta ridhiki. Nimebahatika kupata diploma in water supply and...
CREDIT OFFICER
AFYA Micro Finance Company Limited (AMiF) is a specialized Microfinance Institution that provides affordable loans for the health sector in Tanzania. AMiF targets the lower end...
1. Head; Private Banking
Job Purpose
To provide leadership that will enhance the Affluent and Core Middle (Mass Affluent) product and strategy as well as to deliver profitable business growth...
Habari zenu wakuu, nahitaji mwenye kujua connection za kazi za kutumia nguvu ukuli kwa Dar au Pwani.
Ikiwa sokoni nijuze ni soko gani wanashusha sana mizigo ya mazao angalau kwa siku liwe na...
Wakuu habari,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni kijana wa miaka 24, nimehitimu chuo mwaka huu UDSM fani ya ualimu History na Kiswahili ninaishi Dar es Salaam.
Ninaomba mnisaidie...
1. Customs Clearance Supervisor, RCS GRADE
Reporting to Operations Manager
Location Dar es Salaam, Tanzania
IT’S NOT JUST AN OPPORTUNITY TO GET ON THE CAREER LADDER
IT’S AN OPPORTUNITY TO HELP...
The United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR)
Job Title Assistant Environment Officer
Job ID 23120
Location Kibondo, Tanzania- U.R. Of
Salary Grade NA
Hardship Level E
Family...
Kwa mara nyingine nawaletea tena fursa hii adhimu.
Tunahitaji mwalimu wa somo la Mathematics (preferably male) ambae atafundisha primary school iliyopo Zanzibar.
Shule ina mazingira mazuri sana...
Habarini wanabodi,
Awali ya yote ningependa kujitambulisha kama member mpya ndani ya familia hii
Nikiwa kijana mwenye umri wa miaka 20s, na elimu ya kiwango cha degree in Insurance And Risk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.