Kwa nini wasomi wengi hawapo tayari kujitolea?
Jamii ina imani kubwa na vijana wetu ambao wanafika ngazi za juu za kitaaluma, kiasi wakaaminika kupewa nafasi katika maeneo mbalimbali.
Lakini ni...
Natafuta mtu mwenye uwezo na weledi wa kuuza duka la dawa za binadamu vigezo
Awe amesoma ADDO au
Ana taaluma ya Community health au
Ana taaluma ya Nursing certificate au
Taaluma ya Medical...
Overview:
Water Institute invites application from suitably qualified public servants who wish to be transfered to Water Institute in the following positions below...
1. (a) Position: Accountant...
Overview
THE UNITED AFRICAN UNIVERSITY OF TANZANIA (UAUT) is a private institution of Higher Learning Institution founded by the Registered Trustees of Korea Church Mission (KCM), with the...
Sifa
1.Awe na elimu ya kidato cha nne au ngazi ya cheti.
2. Ushawishi mkubwa kwa wateja.
3. Uwezo mzuri wa kuongea na kuandika.
4. Uelewa wa matumizi ya baadhi ya program za computer.
5...
Habarini, Mimi niliajiriwa mwaka 2005 mwalimu wa sekondari kwa tiketi ya leseni, nilitimiza miaka 2 ndipo nikaenda masomoni.
Nilienda kusoma degree ya ugavi tofauti na ruhusa baadae. Nilihitimu...
Call for Agribusiness and Smallholder Agriculture Consultants
Farm Africa Tanzania
Job Summary
Farm Africa Tanzania is currently recruiting international and national development experts for...
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 25 elimu yangu ni ya kidato cha sita, natafuta kazi yoyote mathalani kituo cha mafuta (filling station au sheli), ulinzi kwenye kampuni, supermarket...
Habari wakuu, mimi ni dereva mwenye leseni inayoniruhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani.
Natafuta bajaji au gari ndogo ya mkataba kwa ajili ya kazi...
Habari za asubuhi?
Anahitajika fundi mzuri wa kushona nguo za kike.
Eneo la kazi ni Tabata Aroma, Dar es salaam.
Kama unahisi hii ni kazi yako na inakufaa, wasiliana na Dalali - 0744033555
Habari wana JF,
Kama head inavyosema hapo juu,
Mimi ni kijana Wa miaka 20 naishi Dar es Salaam, Nina elimu ya kidato cha nne, nilimaliza mwaka 2017 Arusha, ufaulu wangu haukua mzuri kwa kuwa...
Mimi ni mhitimu wa Degree ya Barchelor of Business administration in Accounting with Education natafuta kazi yoyote ile inayoendana na elimu yangu namba za simu 0714488026
Habari za muda huu wadau
Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kusaidiana kupeana connection za maswala ya kazi za udereva wa magari ya aina zote kuanzia Uber, madereva binafsi pamoja na magari...
Habari wajumbe wa JF, husika na mada hapo juu, nipo hapa kuomba au kuuliza ni hoteli gani naweza pata hata daywork au night-shift ya kupata ajira za muda za hata kuosha vyombo.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.