Habari JF,
Anahitajika Mdada mwenye Diploma au Certificate ya ACCOUNTANT kufanya kazi Dar es Salaam. Awe anauelewa mzuri wa Ms Excel na Outlook.
Mshahara ni Maelewano.
Nitumie CV kwa Email...
Nilikuwa kuna sehemu napitia mtandaoni nikakutana aina kumi za ajira ambazo hazitaji cheti bali ni ujanja wako wa kujiongeza
1. Events planning and marketing
2. Freerancer marketer
3. Graphics...
Kijana wa kunyoa anahitajika, awe msafi, ajue kunyoa style zote, Awe mkazi wa Moshi. Ofisi zipo KCMC Moshi. Kama una hizo sifa au unamfahamu mtu mwenye hizo sifa tuwasiliane.
0755982500
On behalf of Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC); Public Service Recruitment Secretariat invites dynamic and suitably qualified Tanzanians to fill 26 vacant posts.
Mi naomba kuuliza, kabla ya kuajiriwa kwenye ualimu nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni za clearing and forwarding kwa muda wa miaka mitatu.
Sasa je, inawezekana kweli nikaomba kuhamia TASAC...
Y & M Express LTD is looking for a professional individual for Office Receptionists to enhance it's level of effectiveness and efficient delivery on its daily business operations. Our office is...
Habari za muda huu wadau. Nilikuwa naomba kufahamishwa Jambo moja kuhusu recategorization Kwa mwenye uelewa na haya mambo.
Mimi nimemaliza chuo mwaka Jana 2019 ,na mwaka huu 2020 mwezi February...
Habari,
Nahitaji msusi wa dreads awe:
Anajua kubana style nyingi
Kutwist vizuri sana
Kufanya interlock
Kufanya dreadlocks extension
Na mengineyo
Vigezo
Awe tu mstaarabu, mwenye adabu na...
Would you like to join out team?
Follow the link below to learn of exciting opportunity.
EMPLOYMENT OPPORTUNITY - Benjamin Mkapa Foundation https://t.co/Po6HGrUCI2
Job title: Green Storage Supervisor
Company:
At Alliance One our purpose is to transform people’s lives so that together we can grow a better world. We are the trusted provider of certified...
Tume ilitangaza ajira 195 mwezi wa Aprili na miongoni mwa nafasi zingine ikasema kuna nafasi wazi 114 za Hakimu Mkazi II, wenye sifa waombe. Watu wameomba na Tume ikaitikia kwa kuita waombaji 300+...
Habari, ikumbukwe kuna chuo cha roots and shoots kiitwachoJane Goodall Institute.
Je, wapo waliofaidika na vyeti hivyo kwa kuajiriwa kwenye ualimu katika chuo hicho?
Asante
Habari zenu wakuu wa humu JF,
Mimi ni kijana mchapakazi, napatikana Kibaha mkoa wa Pwani.
Nilishawahi kupost humu tangazo la kutafuta ajira/kazi.
Sasa leo nimerud tena kuwaomba ndugu zangu kwa...
Position Title: Regional Program Officer (East & Southern Africa)
Position Location: Addis Ababa, Ethiopia; Arusha, Tanzania; or Kampala, Uganda
Reports to: Regional Program Manager
Works closely...
Natanguliza shukrani za dhati kwenu wakuu. Naitwa Robert ninatafuta kazi au sehemu yoyote ya kujitolea kufanya kazi kama Excavator Operator toka nimemaliza hii Kozi (VETA) nimehangaika sana...
Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet as part of implementation of its five years Corporate Strategic Plan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.