Tunatafuta Mbunifu wa Picha na Sanaa ya Mwendo kujiunga na timu yetu. Muhitaji anapaswa kuwa na ujuzi wa kudesign "mockups" kwa miradi mbalimbali, michoro ya 3D, michoro ya kawaida ya 2D, na...
Habari zenu wanajukwaa,
Naomba msaada wa maswali yanayoulizwa kwenye usaili wa Afisa Biashara (written interview) Utumishi, ambayo imejumuisha Kada mbalimbali za biashara.
Asanteni.
Habari za leo wadau wa JF. Mimi ni Mwalim wa Kingereza Ngazi ya Shahada.
Naomba uzoefu kidogo kwa wale waliofanya usili wa Utumishi wa online wa hivi karibuni.
Je,
1. Maswali ni ya kuchagua au...
Samahani naitwa Clause Michael mng'ong'o nipo njombe Makambako,naomba kama Kuna dereva wa it au mtu ana connection na madereva wa it naomba kuwasiliana naye 0765091194 WhatsApp au kawaida.
Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024.
Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
Habari wakuu,
Nimesomea Science and Laboratory Technology(FTC) kutoka DIT na Nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi nikifanya kwenye kampuni na viwanda tofauti.
Mwenye connection tupeane wakuu.
Leo nataka kujibu swali hili kwa kuzingatia uzoefu na usaili unaoendeshwa na mataifa mengine katika kada ya elimu.
Kwanza, walimu wengi wanaojiandaa kwa mitihani ya usaili wa Sekretarieti ya...
Tuna mradi wa viwanja maeneo ya mwasonga Kigamboni, anahitajika mkandarasi wa barabara ambae atajenga barabara za ndani ya mradi na sisi tutampa sehemu ya ardhi/viwanja vilivyopimwa.
Mradi Upo...
Ninatafuta kazi, Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania.
Natanguliza shukrani🙏
Hope wote mko poa kijana wenu naomba connection ya kupata pikipiki ya mkataba
Makazi yangu ni Kisongo Arusha
Namba yangu 0738527799
Ninauzoefu wa miaka mitatu kuendesha pikipiki na miaka miwili...
Naanza na pole kwa watu wa maabara kwa kupewa mitihani ya watoto wa shule wakati ninyi tayari ni watu wazima wa kazini.
Nimeona niandike thread hii kabla sijafanya mtihani hiyo ili nije niisome...
Leta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya...
Wandugu hapa jamvini nadhani mnaendelea kutafuta ugali wenu wa kila siku. Ninataka kuhamia shirika moja la uhifadhi nchini nimefuatilia nafasi nimeambiwa ipo kumcheki HR kakaza anasema hamna...
Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:-
Stationary
Secretary
Duka...
Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi!
Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.