Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Job type: Full-time ESL & Typing Teacher Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you enthusiastic about teaching both English and essential technological skills...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Operations and Finance Manager Location: Unguja, Zanzibar, Tanzania Contract Length: 1 years (renewable) Commitment: Full time, 37.5 hours/week Compensation: 3,600,00 TZS/month (gross) + health...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Job type: Full-time Let’s grow together, become our LEAD KEY ACCOUNT MANAGER. SME A minimum of 3 years of experience in account acquisition/management. CORE RESPONSIBILITIES ■ To achieve agreed...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Job type: Full-time Dreaming big is in our DNA. It’s who we are as a company. It’s our culture. It’s our heritage. And more than ever, it’s our future. A future where we’re always looking...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Habari wana JF, Hivi ni kweli utumishi wanataka cheti chenye majina matatu? Na je sisi ambao vyeti vya taaluma vina Initial tu pale jina la kati kati inakuwaje? Je, sisi wenye vyeti vya taaluma...
1 Reactions
12 Replies
958 Views
Tume ya uchaguzi imewapangia walimu walioomba ajira za tamisemi vituo vya usaili, kuona kama umeitwa ingia Ajira portal sehemu ya Notification.
2 Reactions
27 Replies
4K Views
HATIMAYE AFISA MUUGUZI MSAIDIZI
2 Reactions
1 Replies
844 Views
Kwa bei nafuu sana unajipatia picha ya kuchora ya kitu au mtu yeyote umpendaye.Kwa mawasiliano: 0685069818 Karibuni mabosi 🙂
5 Reactions
30 Replies
819 Views
Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila...
8 Reactions
221 Replies
56K Views
Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
11 Reactions
136 Replies
4K Views
Habari Zenu, Mimi ni Kijana, Umri 24, Ndoto yangu siku moja niwe mpiga picha wa Rais wa Tanzania, nimeanza kazi za upigaji picha, na uchukuaji Matukio kwa mtindo wa Video miaka 9 nyuma nimepata...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya...
1 Reactions
6 Replies
624 Views
Wakuu, kuna aliyepitia changamoto kama hii ya ku Log in kwenye mfumo jana au leo akakuta Under maintenance? MREJESHO: Wakuu naona mfumo umefunguka tayari mambo yako vizuri
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Natafuta kazi ya kufundisha au kazi nyngn yoyote ili tu kujikizi mahitaji ya kimaisha. Nna degree of science in education natanguliz shukrani.
3 Reactions
9 Replies
575 Views
Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya...
3 Reactions
21 Replies
774 Views
Habari za siku kadhaa ndugu zangu. Narudi tena kwenu wakuu. Week kadhaa zilizopita nilileta bandiko la kutafuta kazi hapa, sipendi nieleze tena mapito yangu ila nataka kusema tu bado kwa upande...
14 Reactions
67 Replies
2K Views
Habari wakuu,natumai nyote wazima.Nisiwachoshe niende katika mada. Wakuu Mwenye connection zozote za kibarua au kazi ninaomba wakuu. Nina hali mbaya sana.ninaishi na mama wakuu kheri nipate...
3 Reactions
8 Replies
408 Views
Job type: Full-time Job Title: Secondary School Principal Location: International School of Tanganyika, Dar es Salaam, Tanzania Effective Date: August 2025 School Overview: Student Enrollment...
1 Reactions
4 Replies
397 Views
Habari za kazi kaka tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili. Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za...
0 Reactions
8 Replies
918 Views
Habari zenu, Nimeona niombe humu kwenye JamiiForums kwasababu najuwa tupo watu wa sehemu tofauti tofauti pia wapo waliobarikiwa kiuwezo na wengine kiupeo. Naombeni connection jamani ya part time...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Back
Top Bottom