Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wakuu, rejea hapo juu. Vyeti vilivyopo JKT & EACCFFC na nina uzoefu wa mda mrefu. Niko tayari kwenda mkoa wowote, ila Dar es Salaam hapana Asanteni
2 Reactions
28 Replies
834 Views
Habar wakuu nina umri wa miaka 29 natafuta kazi yeyote ya halali kwa taaluma ninachet cha hotel kama housekeeper na waiter ambayo nitalipwa mshahara kuanzia 300,000 kwa mwezi. Pia najua kuendesha...
1 Reactions
3 Replies
422 Views
Habari za leo ndugu zangu. Naomba msaada je hizi status za ajira portal zipoje. Mfano kwenye portal imeandika SELECTED FOR Oral Interview. Selected for Ina maneno ya kijani lakini kwenye website...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Habari, Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Habar Wana JamiiForums nimejaribu kuingia ajira portal ili nianze kujisajiri upya ila nakumbuka zaman Sana nilishawahi kuingia hivo sikumbuki email Wala password niliyotumia kipindi hicho...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanahitajika vijana wa Kike kwa ajili ya mauzo ya mradi wa nyumba uliopo(REAL ESTATE) wilaya ya Kigamboni Dar es salaam. TUMA C.V YAKO:sophiahamidu59@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Ni matumaini yangu mu bekheri wa afya wakuu kwa wanaoumwa poleni sana na mtakuwa sawa tena. Mimi ni kijana wa miaka 26 -28 nipo Jijini Mwanza ahangaika ila katika mihangaiko yangu mambo yamekuwa...
7 Reactions
27 Replies
956 Views
Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video (Video content creator) Tunatafuta mbunifu mwenye kipaji na ari ya kazi kujiunga na timu yetu. Majukumu: 1. Kuunda na kuhariri video za masoko na...
1 Reactions
12 Replies
638 Views
Kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa Arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa...
22 Reactions
157 Replies
9K Views
Habarini wakubwa, Nimekuja kwenu nikiamini kwamba JamiiForums ni sehemu inayokutanisha watu wengi tofauti tofauti, waliojikita katika nyanja na sekta tofauti, hivo nimeona ni sehemu sahihi ya...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu. Siku ya leo nimeingia ajira portal na kukuta mabadiliko fulani nikashindwa kuelewa japo Hii ni mara yangu ya 7 kuomba kazi utumishi. Kwa wale mliokuwa...
2 Reactions
235 Replies
71K Views
Kwa wale mliyowahi kufanya usahili wa PSRS na kufanikiwa, status zilileta mabadiliko gani? Tusaidieni tuelewe vizuri. Kuna hii selected for null na not selected for null kwenye app.
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Mama mtu mzima ,umri miaka 40 anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni ,au kazi yoyote halalI ajipatie kipato,. MahalI popote pale hata kijijini.yupo tayari
3 Reactions
38 Replies
939 Views
Habari... Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi anayotupatia mpaka saa hii🙏..... Mimi ni mhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA (Sokoine University...
1 Reactions
2 Replies
334 Views
Sina maneno mengi,vijana mjiandae ,nadhani hii itakya kwa mara ya kwanza Tamisemi kufanya hii kitu.
0 Reactions
4 Replies
568 Views
Naomba mwenye kujua interview za Afisa maendeleo ya jamii msaidizi dalaja la pili maswali yake yakoje ya written na oral?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Naomba kujua baadhi ya Maswali ambayo yanaulizwa kwenye Interview (Oral na Written) kwa nafasi ya Tutorial Assistant.
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Wasifu wangu; JINSIA; Me UMRI; 24-26 ELIMU; Bachelor of business administration MAKAZI; Dar- kigamboni Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna...
1 Reactions
0 Replies
255 Views
Back
Top Bottom