System Admin: Contact & Digital Channels
Posting Country: Tanzania, United Republic of
Date Posted: 30 Aug 2024
Full Time / Part Time: Full Time
Contract Type: Permanent
At Vodacom, we’re...
Business Analyst – Business Performance & Revenue Assurance
Department - DEPARTMENT OF RETAIL BANKING
Location- Tanzania Head Office
Number of openings - 1
Job Purpose
The Revenue Assurance...
Job Purpose
The role holder will be responsible for reconciliation of clients’ accounts and ensure queries from intermediaries are promptly responded.
Key Responsibilities
Cash flow management...
Senior Instructor/Assistant Professor, Urology
Entity - Aga Khan Health Services
Location - Tanzania
Introduction
Aga Khan University, a private, self-governing international university...
Habari za majukumu wakuu?
Natumaini mko salama. Ningeomba msaada wenu wa hali na mali katika kunisaidia kupata nafasi yoyote ya kazi. Nina imani kuwa kwa msaada wako, nitapata nafasi...
Wadau hivi katika suala la kuomba ajira mpaka kwenye interview,je ukiwa unatumia AFFIDAVIT AU DEEDPOLL kutokana na changamoto ya majina.
Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu kwako wa uwezekano wa...
Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Siku tatu zilizopita STATUS ilibadilika kutoka employer kuwa MDAs na LGAs hadi employer kuwa mkoa husika. Jana imebadilika status imebadilika tena...
Wakuu habari za Leo.
Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme.
Mnisaidie mashirika yote...
Habari za muda huu wapendwa, poleni na majukumu mbalimbali katika kulijenga taifa letu.
Lengo la uzi huu ni kujuzana ni maswali ya namna gani yanaulizwa katika interviews za tutorial assistant...
Poleni na majukumu ndugu zangu. Mimi ni kijana was kiume, nina umri wa miaka 27 na ninaishi Dar es salaam Tanzania.
Ninahitaji kazi, aidha internship, nafasi ya kuanzia(entry level), kazi ya...
Aisee maisha yana kila aina ya furaha na karaha, tunapitia mengi lakini mwisho wa watu wengi ni mzuri, amini hivyo.
Nakumbuka namaliza chuo ile sina hili wala lile, naingia mtaani na mabaki ya...
Mimi ni kijana wa kiume miaka 21 Nina elimu ya form six
Nimeshindwa kujiendeleza na masomo mwaka jana maana nilikosa mkopo
Hivyo basi natafuta kazi yoyote maana nilikokuwa nimejishikiza mwenyewe...
Job Description
To assist with undertakings of the accounting function of the company in a professional manner to ensure the company meets its financial obligations.
Timely processing of invoices...
Hello,
Kwa walimu wenzangu na wenye experience na interview za utumishi, tupeane updates.
Kama ni mwalimu wa Geography inamaana nijiandae vipi? Nisome course za Education like EP, EP...
Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF.
Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa...
Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis, mwenye umri wa miaka 24, mwenye makazi ya mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni.
Elimu yangu ni Ngazi ya cheti pia ni muhitimu muhitimu katika...
Hello we need Human Resource Officer
All can apply Preferable female
Knowledge in law will be an added advantage
Place of work Zanzibar
Qualification either certificate, Diploma or Degree in Human...
Wakuu niaje....
Ni mimi hapa kijana wenu Trojan, leo nimeona nishare na nyie kuhusu interview hasa oral.
Ofcourse nimefanya oral interview nyingi sana ila kuna zingine niliboronga kabisa. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.