Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari, Afisa Uhusiano au call center Napatikana Dar...
0 Reactions
3 Replies
469 Views
Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo...
5 Reactions
66 Replies
2K Views
Kuna kazi nyingi za kufanya ndani ya Nchi na nje ya Nchi huku ikitegemea na taaluma yako uliyosomea. Kuna watu wamepata kazi hizo kwa kupambana wenyewe huku wengine wakisubiri kusaidiwa kwa namna...
6 Reactions
30 Replies
880 Views
Habari za saa hizi wana jamvi , Nimejisajili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikosea kujaza level ya...
2 Reactions
15 Replies
931 Views
Je, baada ya Written interview atakayofanyia Dodoma , akifaulu kwaajili ya Oral Interview, atamfanyia Mkoa Upi? Dodoma ( alouombea ) yeye mwenyewe, au Tanga (alipobadilishiwa na Utumishi).?.
2 Reactions
4 Replies
515 Views
Habari zenu wakuu. Nimepata ronja kuwa sms za kuitwa KIHANGAIKO zimeanza kutumwa. Je, kuna yeyote amepokea?
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Interview ya mahojiano wamesema mhusika ataenda mkoa alioomba kazi kufanya interview, je kwa wale walioomba masomo mawili na kuwekwa mikoa tofauti anatakiwa kwenda pande zote mbili au atachagua...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za mida, jamani mwenye moyo wa msaada waeza okoa jahazi japo pate hata hela ya kula takushukuru pia. Umri: 22 Location: Mbezi- DSM Edc: Form6 Ujuzi: Cmputer Vipawa:sanaa...
3 Reactions
21 Replies
763 Views
If you are not aware, NOW is the time to apply for most scholarships if you need money for fall college enrollment. January, February and March have more scholarship deadlines than other times of...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za muda, Mimi ni nurse na nipo kwenye harakati za kupata ajira naomba msaada kwa yoyote anayeweza nisaidia kupata ajira. Asante.
4 Reactions
36 Replies
773 Views
Wana jamii kindly assist. My friend is registered engeneer from CRB, more than 5 YEARS experience. He has computer science degree from russia. He is very good project manager, he does well...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi wao wamekuwa wakikumbana na vikwazo vingi na manyanyaso ambayo yamewaathiri kisaikolojia na kujikuta wakijiingiza katika tabia mbaya au kuwa watu waliochanganyikiwa akili. Utafutaji kazi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Dalili ya Kazi za Kitapeli: 1. Kampuni haina tovuti au akaunti katika mitandao ya kijamii. 2. Barua pepe ya mwajiri haiendani na tovuti rasmi ya kampuni au shirika halali 3. Maelezo ya kazi...
2 Reactions
2 Replies
478 Views
Habari za jioni wakuu, kwa anayejua hii form naweza kupata wapi pia kama kuna uwezekano mtu akajijazia chap kama inavyoonesha hapo nitashukuru service fee ipoo. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
3 Replies
231 Views
Kufuatia tume ya Utumishi wa mahakama kutoa majina ya watakao fanyiwa usaili kufanyika kwa njia ya kielectroniki. Karibuni wakuu tupeane maujuzi jinsi ya kutoboa kwenye huu usaili kwa wale...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, mm ni kijana mpambanaji umri wangu ni miaka 24 mkazi wa Dar es Salaam, Tegeta. Ninatafuta gari ndoa kwa ajili ya kufanya kazi za taksi ya mtandaoni maarufu kama Bolt. Nina leseni...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Habari zenu Wakuu Tunahitaji Welders wazuri ambao wanauwezo wa kusoma Michoro (Drawings) na kuifanyia Kazi. Mahali pa Kazi: Dodoma Tuwasiliane: 0761584652
2 Reactions
0 Replies
121 Views
Habari wakuu, Bright and Genius Editors tunatangaza tenda yenye pesa nzuri. Tunatafuta fundi wa Kutengeneza mashelf ya kisasa, meza ya kisasa moja, na sofa kwaajili ya dukani kwa bei rafiki. Ni...
1 Reactions
5 Replies
316 Views
Back
Top Bottom