Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers...
The United Republic of Tanzania, President's Office, Public Service Recruitment Secretariat
Recruitment
POST DETAILS
POST
DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) - 514 POST
EMPLOYER
MDAs & LGAs...
1. Nafasi ni moja.
2. Sihitaji mambo mengi.
3. Weka namba yako ya simu pm.
3. Hakikisha umekamilika.
4. Uzowefu usipungue mwaka 2.
TAHADHARI:-
A. Vijana mkitaka kusaidiwa basi jitahidi kuwa na...
Mimi si mpenzi sana wa kuanzisha mada kwenye mitandao ila huwa nacomment kwenye mada hasa za mpira nakupita ila kuna hili la hali ya ajira nchini tunapoelekea nchi yetu itakuwa ya ajabu sana na...
Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au...
Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu natafuta vijana watatu nitaowaajiri waje wafyatue matofali malipo ni 5000 Kwa siku kula juu Yao Kwa waliotayari waje pm mda huu Kwa mnaohitaji...
Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa.
Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
Wadau natafuta msimamizi wa kituo cha kupiga simu kwa wateja. Kazi zake ni kama zifuatazo
1. Kusimamia timu ya upigaji simu ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa ufanisi
2. Kuongoza timu ya upigaji...
Habari zenu watanzania wenzangu.
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari.
Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku...
Habari wanajukwaa?
Nina Bachelor of science in physics (Sio ualimu).
Kutokana na ugumu wa ajira na ugumu wa maisha kiujumla, nimekuja mbele zenu kutafuta kazi. Ninauzoefu wa kufundisha kwa miaka...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka...
Kama kijana ambaye bado najitafuta ili kujiboresha na kufikia malengo yangu, naomba kutumia jukwaa hili kutafuta mtu ambaye anaweza kunishika mkono au kuwa daraja kwangu la kunivusha kutoka hapa...
Iko hivi kwenye vyeti vyangu vya shule nina majina mawili tu hakuna jina la ukoo lakini kwenye nida kuna majina matatu pamoja na jina la ukoo.
Ni miaka minne sasa kila nikiomba kazi serikalini...
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi za kazi jumla ya elfu sita, mia mbili na hamsini na saba (6,257) katika Wizara, Idara, Wakala za Serikali, Mikoa na...
Fahamu mambo ya kuzingatia wakati unapoitwa kwa ajili ya Interview:
1. Fanya Utafiti kuhusu Kampuni iliyokuita kwa kufahamu Huduma na Maono yake ili majibu yako yalingane na malengo ya Kampuni...
Unapokwenda kwenye Usaili wa Kazi, Mwonekano wako wa mwanzoni tu, unaweza kuwa na athari kubwa wakati wa mahojiano. Na hiyo ni kwasababu tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Waajiri hufanya...
Hiki ni kitu ambacho kinaniumiza kichwa kufahamu kwakuwa hakuna taarifa maalumu ya kwamba Tamisemi hawatahusika na hizi ajira za Ualimu
Hili linatia mashaka baada ya siku za nyuma kutangazwa...
Wakubwa tupeane elimu kidogo nataka kujua jinsi ya kudelete cheti nilicho pachika Ajira Portal. Nimeweka cheti ambacho hakiko certified.
Sasa nikitaka kukitoa hakuna option ya dellete kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.