Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Serikali ya CCM chini raisi Samia Suluhu Hassan. Naomba sisi vijana tulio soma iwe kuanzia form four(aliyefaulu) or Veta(NVC 3) na kuendelea kwenye hiyo miradi na huku mitaani na mtuwekee...
4 Reactions
29 Replies
702 Views
Wakuu nataka kupata uzoefu kuhusu kazi za United Nations Volunteers. Mimi nina uhakika nina sifa zote zinazohitajika kupata nafasi ya kufanya na UNV. Nimejiandikisha kwenye mtandao wao wa...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari zenu Wakuu, Mwaka huu nimeona niongeze skills kidogo hivyo nataka kujifunza kupiga kinanda. Mimi ni beat maker ila bado sijaiva kwenye kupiga kinanda vizuri. Nataka niive ili nianze...
0 Reactions
5 Replies
664 Views
Tarehe 14 mwez huu ndo ile siku ya kuvuna tulichopanda. Siku zimebaki chache usiache fursa hii ikupite ni rahisi sana huhitaji pesa wala hakuna atakaekuomba pesa Mahitaji Telegram Muda wako Dk 2...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Natafuta mtaalam wa masuala ya mazingira ambae anaweza kuandika vizuri miradi na kufanya EIA, EA AUDIT vizuri. Kama upo Vizuri kwenye Masuala hayo njoo tufanye kazi. Asante WhatsApp ‪+258 87 299...
0 Reactions
7 Replies
302 Views
Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Nina ofisi Dodoma Mtumba mji wa serikali ambapo nafanya photoshoot, video shooting, na printing zote yani naprint Tisheti, jezi, kofia, vicombe, vitabu, calendar, business card, pia natengeza...
2 Reactions
1 Replies
273 Views
Assalam Allaykum, Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko...
38 Reactions
382 Replies
8K Views
Job title:Technical Officer, Biomedical Services Type: FULL TIME Industry: Nonprofit, and NGO Category: Healthcare NGO:FHI 360 Deadline:August 09 2024 Work Station: Tanzania , Dar...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Kichwa cha habari kinajieleza anahitajika mtu wa Pharmacy eneo la kazi ni Mwanza, education level kuanzia diploma maelezo zaidi njoo PM na offer yako.
1 Reactions
5 Replies
282 Views
Kama kichwa kinavyojieleza mwenye connection ya kazi za kuchomelea tuchekiane jamani, kitaa kinatuadabisha. Naishi Dar es salaam. CV yangu hiyo hapo
2 Reactions
1 Replies
274 Views
Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi?
42 Reactions
375 Replies
13K Views
Wadau naomba kujua hivi katika suala la kuajiriwa,je cheti cha kuzaliwa na NIDA navyo vinahusika sambamba na vyeti vya taaluma..
1 Reactions
3 Replies
267 Views
Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Stashahada ya Uhasibu. Ninatafuta nafasi ya kazi ya kujitolea au kuajiriwa ofisi yoyote ndani ya Tanzania. Namba yangu: 0759285908
1 Reactions
0 Replies
337 Views
MAJINA HAPAO Tanzania Police Force Tanzania Police Force Tanzania Police Force Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0713 240480, 0783 392277, 0767 571499, 0713 571499, 0789 204377. update...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za...
19 Reactions
33 Replies
951 Views
Nime upload kila kitu sawa na nimefikisha 100% ila kwenye ku apply wananiambia niangalie vigezo hasa bachelor inayohitajika na nikiangalia niko sahihi ila bado haikubali ku apply
1 Reactions
16 Replies
561 Views
Habari Wakuu. Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA. Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft...
3 Reactions
21 Replies
918 Views
Hivi Kuna uwezekano, mtu alie soma shahada ya ualimu, akaomba nafasi ya afisa mtendaji na akapata kazi hiyo kupitia ajira portal au mfumo wowote wa serikali?
4 Reactions
19 Replies
969 Views
Baada ya kuhangaika kwakipindi kirefu hatimae Sasa nimeitwa kwenye usaili DODOMA. Licha ya furaha hiyo Kuna Mambo naombeni msaada wanabodi. 1: Utofauti mdogo wa Majina Kati ya NIDA na vyeti...
8 Reactions
63 Replies
6K Views
Back
Top Bottom