Habari WanaJF mimi ni kijana wa kiume (25) shupavu mwadirifu na nimwaminifu .Sina ELIMU sanaa Nina certificate ya 4m4 tu, nipo hapa kwa ajili ya kuomba kazi ndugu zanguni, nikipata kazi yoyote...
Wakuu habari za Asubuhi.
TANAPA wametoa majina ya interview na tarehe husika mdogo wangu ameoangiwa kuifanya hifadhi ya mto wa mbu karatu Arusha kwa post ya udereva please mwenye ujuzi wowote wa...
Kwa hizi nchi zinazopigana vita nyakati hizi; Ukraine, Urusi, Israel, Palestina, Lebanon n.k
Nyakati hizi, kuna wanaoenda kuomba kazi za jeshi kweli?
Je wakileta maombi kwa vijana wa kutoka...
Sifa za waombaji,
1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30.
2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy)
3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele.
4. Awe...
Wakuu ni mambo gani tunapaswa kuzingatia kabla ya kwenda kwenye usaili wa Jeshi la POLISI Tanzania.Tusaidiane.Ya chini chini niliyoyaskia ni haya:
1. Usiwe na HIV/AIDS.
2. Usiwe na makovu.
3...
Hi, guys habari za weekend I hope mpo good kwa wale wenye changamoto zozote zile poleni sana ndugu zangu coz siku hazifanani.
Bila yakupoteza muda ndugu zangu Mimi ni kijana fukara ambae mara...
Habari za weekend wakuu.
Swali langu ni kama heading isemavyo.
Na Mimi natamani nipate ajira niachane na huu ujobless, maisha magumu umri unaenda, wachumba hawanitaki kisa dough.
mfano wa...
Habari za Jumapili ndugu zangu wanajamii na wenzangu,
Ninaomba kufahamu taratibu za kuomba uhamisho (transfer) kutoka Taasisi X kwenda Taasisi Y kupitia mfumo wa Utumishi (e-Utumishi). Je, kuna...
Anatafutwa kijana mwenye umri kuanzia miaka 18-30 kwenye cafeteria
Awe anajua kupika vyakula vile vya kipemba pemba
Kachori, katles, sambusa, bagia keki na bites, juis za matunda na nyengine atume...
Habari wakuu samahani,
Kama kuna yeyote ambaye amewahi pitia usaili wa online na akafauru vizuri mpaka kufika oral nilikuwa naomba atupe mbinu na alitumia web site gani kujiandaa na usaili.
Asante.
Hello Kuna mtoto wa Shangazi yangu amepata changamoto ya application za ualimu,
Ametuma maombi Kwa somo la history, vyeti aligonga muhuri Kwa mwanasheria, passport aliweka, na barua ya maombi...
Habari,
Sina mengi ila naomba msaada wa referrals (marefa) wanaohitajika kwenye mchakato wa kuomba ajira mpya za serikal.
Kiufupi inaweza kufikirisha kwa baadhi ya watu humu ila kwangu nina maana...
Wana jamiiforums kwema
Kama kicha juu hapo kinavyojieleza mm ni kijana wa miaka 25 mkazi wa dar es salaam mbagara elimu kidato Cha nne
Nimekujua kwenu waja JamiiForums kuomba kwa yoyote ambaye...
Habari za wakati huu........ mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliz bsc chemistry hivyo naombeni mwenye connection na internship anisaidie au kazi yoyote .
Asanten
Ewe unayeomba ajira za ualimu hakikisha umefuata maelekezo na masharti kama yalivyoelekezwa na utumishi.
Barua yako ya maombi utie saini kwa mkono wako, jidanganye utumie adobe signature unaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.