Nina Mdogo wangu anataka nimfanyie application ila anashindwa kutambua achague mkoa gani Aishi Kati ya hii
1 Kagera
2 Katavi
3 Kigoma
4 Lindi
5 Manyara
6 Mara
7 Mbeya
8 Morogoro
9...
Kwa wale job seeker walio soma diploma zinazoendana na utawala kuna mtiririko wa kazi zinatangazwa ajiraportal (https://portal.ajira.go.tz/user/auth/login) nendeni mka compete mpate sehem za...
Wapwaa anaefahamu makampuni ys usafirishaji yanayotoa internship na bachelor degree in shipping and logistics management na diploma in logistics and transport management for further information...
Kwema ndugu zangu, mwenye connection ya kazi yeyote hata ya mda mfupi naomba anisaidie!
Elimu, Diploma (education)
Makazi, Dar es Salaam
Tel no, 0748786954
Shukran!
Je inawezekana ukaomba mfano singida lakini ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba kwenye hizi ajira na je ni bora kuomba kwenye mikoa ambayo Haina ushindani Yani watu hawaipendi?
Kumb.Na.JA.9/259/01/B/ 11
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa...
Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree
Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Wapendwa,
Nina umri wa miaka 26, nimemaliza Diploma ya Procurement & Logistics Management 2014 katika Chuo cha Uhasibu (TIA) natafuta kazi zinazo-relate na fani yangu.
Sent from my Lenovo A5600...
Habari wakuu napenda ulizia ni sekta ipi inayofaa kwa graduate level diploma akiwa na cheti hiko hapo juu,, kwa kazi kuajiriwa ukiachana na fisheries.....au viwanda vipi vinafaa ,,,
Yupo Dar es...
Hello members,
Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender.
Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao...
Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la...
Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa!
Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale...
CWT ni chama cha walimu kama kinavyojipambanua na kujitangaza siku zote za uwepo wake. Zaidi kinatangazika kwa sifa ya kutetea maslahi ya Mwalimu, haki na kumpigania mwalimu ili apate mazingira...
Wakuu, natumai wazima. Nimekuja kwenu kwa niaba ya mjomba wangu.
Mjomba wangu anahitaji kazi, nafasi ya welding.
Ana uzoefu wa kufanya kazi kawaida na viwandani zaidi ya miaka minne.
Ni kijana...
Naomba maelezo kutoka kwa Maafisa utumishi wa taasisi mbalimbali za Umma/Serikali.
Ni haki yake Mtumishi wa umma kulipwa fedha ya Nauli wakati anapothibitishwa kazini kulingana na...
Wajuvi wa mambo salaam, nimezaliwa 90s mpaka Sasa sioni dalili za kuwa usalama wa taifa kazi ambayo naipenda sana kutoka moyoni licha ya maslahi ambayo wengi wanakimbilia.
Yaani Mimi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.