Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, mimi ni me(29) elimu yangu Kidato cha sita ninapatikana Dar es Salaam.
Nina ujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse...
The Role
IT consultant for HMF project
Project Background and objectives
The International Finance Corporation (“IFC”), the private sector arm of the World Bank Group (“WBG”), fosters...
Habari za mida wakubwa zangu!
Naitwa Mzelela Ally, nina miaka 25 ni dereva na nimesomea VETA pamoja na N.I.T. course ya Public Service Vehicle na nina lesen Class A, B, D, C1, E pia nina uzoefu...
Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni...
Hakika hali ni mbaya. Katika mizunguko yangu ya kumalizia weekend, nikasema niingie kwenye ki-pub kimoja cha mtaani nipate hata ka-bia kamoja kupoza Koo.
Mhudumu mdada aliyenihudumia ni graduate...
Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu, nimesomea ualimu wa masomo ya Kingereza na fasihi ( English Language and Literature) pia nina uwezo wa kufundisha lugha ya Kifaransa (FRENCH)kwa...
Muda wa kazi
Saa 4 Usiku - Saa 4 Asubuhi
Majukumu: Wakala Mitandao ya Simu
Mshahara 200,000
Mawasiliano: PM
Eneo la kazi: Mbezi Mwisho
VIGEZO NI VILE VILE KAMA 👇...
kwa utafiti wangu nimegundua kuwa kazi zifuatazo zinalipa
1.C.E.O(Directors),
2.doctors
3.lawyers(jaudges&advocates)
4.soldiers
5.engineers
6.politicians
7.managers
8.accountants .
Without...
Wana jamii,
Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
Habari wakuu.
ELIMU:
Bachelor of science in Mechanical Engineering from University of Dar es Salaam.
UZOEFU
Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye masuala ya Machine design, Metal fabrication, Machine...
Habari zenu ndugu zangu.
Katika harakati za kujipambania kutafuta ajira na kulingana na kasi ya teknolojia ya dunia inavoenda, kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia kabla ya kusubmit application...
AJIRA MPYA 12,000 ZA WALIMU KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA WALIMU - Mhe. Katimba
Na. James K. Mwanamyoto OR TAMISEMI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Mhe. Zainab Katimba...
Salute kwa wanajamii wote!
NB: Nipo tayari kufanya kazi mazingira ya mjini au Vijijini.
KWA MASHIRIKA YA VIKUNDI VYA KIJASILIAMALI
naweza Kuunda mashine,mbalimbali zinazotumia teknolojia ya...
Julai 15 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Ujuzi kwa Vijana Duniani, ilipitishwa mwaka 2014 na Shirika la Umoja wa Mataifa kuadhimisha umuhimu wa kuwawezesha vijana na ujuzi ili kuwawezesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.