Habari zenu, Msaada kwa mtu yeyote anaejua NGO's yoyote ambayo naweza nikajitolea hata bure niwe nafanya kama part time muda ambao nakuwa nipo tu sina cha kufanya ni bora kujitolea katika jamii...
POSITION: Administration and Procurement Officer
REPORTS TO: Head of Finance and Operations
LOCATION: Iringa
JOB SUMMARY
The Administration and Procurement Officer is responsible for timely...
Vacancy #: 6885
Unit: TRAFFIC International
Organisation: TRAFFIC International (TRAFFIC)
Location: TRAFFIC – East Africa, Arusha, United Republic of Tanzania
Reporting to: Partnership and Legal...
POSITION: Grants and Finance Coordinator
REPORTS TO: Award and Sub-award Manager
LOCATION: Iringa
JOB SUMMARY
The role of Grant and Finance Coordinator will be responsible for the day-to-day...
HELVETAS Swiss Intercooperation Tanzania (Helvetas) is an international NGO registered in Tanzania.
Helvetas Tanzania looks for an enthusiastic colleague for the following post:
Position –...
Mimi nimeomba ajira lkn nashangaa nimeappy somo moja mkoa mmoja..
Zote zinanionesha nishaapply wakati nimeomba moja tu
Physics inaniambia nimesha apply wakt nimeomba sehem moja..hata somo la...
Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024
Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari...
Inasikitisha kwa taasisi Kama vyuo Vikuu kuajiri kwa vigezo vya ukabila na kujuana. Mchezo unaanza kwa ku-shortlist mtu mmoja kwenye nafasi moja halafu eti unamuita kufanya interview?
Let's say unafanya kazi kwenye taasisi/shirika la Umma na unaweza kumaliza miezi sita(6) hata mwaka hujapata seminar wa safari yoyote za kikazi.
Na hata seminars na safari za maokoto zikitoka...
Habar za leo wakuu
kama kichwa kinavojieleza juu tafadhali naombeni msaada wa kazi yoyote halali kama ni kuuza kwenye duka,au kazi yoyote halali niko tayari kufanya kazi kwa uaminifu,juhudi na...
Wanajukwaa salaam!
Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini...
Serikali tunaomba itusaidie MUHAS!
Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana...
Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru.
Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo...
Jina: Rich Mashauri
Mahali: Dar es salaam
Elimu: Muhitimu Bachelor of accounting with information technology (BAIT) chuo cha IFM
Miaka: 23
Gender: Male
Ujuzi: IT skills, accounting ethics na ujuzi...
Dear colleagues,
We trust that all is well.
Ifakara Health Institute is seeking a qualified Laboratory Technologist to join the Lab Unit in Ifakara.
The individual will work under the directive...
Ok straight to the point. Hivi viwanda vya nondo katika mikoa ya Mwanza na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?. Kwasasa nipo Nzega Tabora, Sehemu ya kufikia kwenye hayo majiji ninayo.
NB...
Kama wewe ni Accountant, na una uzoefu wa kutosha basi wahi ofisi za idara ya kazi Mwanza, ingia TAESA kuna hizo kazi nafasi 5 tu
mwajiri mmojawapo niliemwona ni mgodi wa NORTH MARA
Salary Range...
Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse...
Kwakuwa tupo katika nyakati ambazo ajira ni ngumu Kwa watu wa hali ya chini kama sisi hivyo sina budi kufurahia hiyo siku ambayo nitapata ajira serikalini
Kukosa connection na watu wakitupambania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.