Tigo Tanzania is the leading innovative telecommunication company in the country, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle brand.
Projects Manager
Products Quality Assurance Officer...
Wnjamvi Serikali inaenda kuajiri Walimu hivi punde kutokana na mchakato wa kuomba kukamilika.
Naishauri Serikali isiwapost bure tu bila kuwapima walimu hawa. Walimu wengi hasa wa Sekondari hawana...
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Elimu ñdio ilikuwa ukombozi wakutegemewa na Wanawake waliowèngi na vijana kutoka familia maskini.
Wanawake wengi hasa wale waliokuwa wanafanya vizuri shuleni...
Habarini wanajukwaa nipo mbele yenu natufuta kazi yeyote ambayo itaniingizia kipato au kama kuna mtu mwenye connection akaniunga kazi zilipo naomba anisaidie.
Nina diploma ya procurement and...
Toka mwaka jana Serikali iliahidi kutoa ajira kadhaa kwenye sekta ya afya na elimu, kati ya mwezi wa kwanza au wa pili na haijawa, katika bunge la bajeti waziri akaahidi kabla ya June 31 ajira...
The United States Government, represented by the U.S. Agency for International Development (USAID), is seeking offers/applications from qualified persons to provide personal services under...
Habari za Asubui wana JF,
Naomba kuleta mada kwenu kuhusu haya mashirika ya kigeni yanayojiita ya kusaidia binadamu (humanitarian) au kujiita mashirika ya kimataifa yasiokuwa ya kiserikali...
Binafsi nimeshawahi kufanya kazi kwa Muhindi kama Bosi wangu. Kipindi naanza kazi nilikutana na ahadi kibao na mambo mazuri mazuri tuliahidiwa kama kazi ikiwa nzuri marupurupu yataongezeka...
Habari wanahitajika Madreva 5 Kwa ajili ya Mkataba wa mradi wa ujenzi.
Madereva wanaohtajika ni walw wenye Class C.
Madreva wenye Class E&G
Kwa mawasiliano piga 0769488409 au tuma taarfa zako...
Urgent call: Wanahitajika walimu wawili mmoja wa somo la KEMIA NA BAIOLOJIA na mwingine HISTORIA NA JOGRAFIA.
NGAZI YA ELIMU: Awe na shahada ya Ualimu.
VIGEZO: Mwalimu mahili na mbobevu kwenye...
Wakuu kwema! Jamani nina mdogo wangu anataka kusoma ngazi ya cheti, sasa naomba mwenye kujua kwa mkoa wa arusha chuo gani pale anaweza akapata nafasi kulingana na ufaulu wake kama nilivyosema hapo...
Habari wakuu,
Mimi ni fundi rangi za nyumba, nina uzoefu wa miaka zaidi ya 10 katika kazi hii. Ninauwezo wa kufanya kazi hii kwa ustadi mkubwa.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kazi ama...
Mwaka mpya wa kiserikali umeshaanza, nadhani hapo nyuma tulishapokea shadi mbalimbali kutokana na suala la ajira hususani hizi za ualimu na afya lakini naona bado ubao umenuna
Mbona hili suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.