Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Anahitajika kijana wa kazi awe wa kiume au wa kike wa kuuza duka la nguo kariakoo mtaa wa Kongo na Aggrey. Sifa awe na elimu kuanzia 4m4 Mdhamini awe nae Kwa anaehitaji nicheki inbox
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu habari.. Hizi ajira za 2023/2024 zinatoka lini? Maana tangu January 2024 WANAZUNGUMZA ajira! ajira! #blessed
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu mimi wa muda mrefu huku JF nilikuwaga na account yangu nikaipoteza. Ombi langu kwenu ni naomba mwenye kibarua chochote anisaidie, nipo mkoa wa Arusha. Nina diploma ya accounting yenye G.P.A...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Graphics design zote ninafanya. Ukinihitaji nakutumia CV yangu unaipitia. Mawasiliano: 0743442532
1 Reactions
2 Replies
193 Views
Jamani wana JF mimi naitwa Brighton natafuta kazi ya kuwa msaidizi wa dereva (tingo) kwenye magari makubwa ya mizigo au mafuta. Kwakweli ni kazi ambayo naipenda ila sijui nitaipataje maana...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Nataka kujua hili kwani mwezi huu wa 6 mwanzoni mlitangaza nafasi za kazi ikiwemo nafasi ya msimamizi wa maudhui (Content manager), Mimi nilijaribu kuomba hii nafasi lakini sikupata mrejesho...
8 Reactions
17 Replies
404 Views
Please apply based on the post's requirements and be ready to join early July 2024 upon successful interview
1 Reactions
2 Replies
273 Views
Mimi NI mwalimu idara ya elimu Sekondari kwa zaidi ya miaka 12, Nilijiendeleza na kuhitimu kwa ngazi ya PGDE. Kabla ya ngazi hii, nilijiendeleza na kuhitimu shahada ya Uongozi na Utawala. Kabla...
3 Reactions
5 Replies
745 Views
Jamani napenda kuomba kufahamu mishahara ya askali magereza kuanzia ngazi ya chini kwa anaye fahamu naomba atujuze jamani kufahamu sio ujinga tujuzeni tuu ndugu zenu ili tufahamu please kwa anaye...
5 Reactions
206 Replies
74K Views
Hivi mmesikia chochote kuhusu hizi ajira zilizoahidiwa kutolewa mwaka huu, maana TAMISEMI naona wapo kimya Taarifa za awali tulizisikia muda mrefu na tukaambiwa mpaka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Send your Application and CV
2 Reactions
0 Replies
245 Views
Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya Mikwambe, Kibada, Kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST, SIENTA, n.k naitaji kwa...
0 Reactions
2 Replies
265 Views
Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba kupitia utumishi wa umma, inakuwa ngumu sana kupata ajira za kudumu hata baada ya kufaulu katika usaili mara nyingi? Je, kuna sababu za kipekee au mifumo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
0 Reactions
2 Replies
381 Views
Hello wana jukwaa. Mwishoni mwa mwezi wa tano, kulikua na usaili wa kuandika Mottmac Dodoma, wakasema watatoa majibu ndani ya wiki mbili. Wiki mbili naona zimeisha. Kwa waliofanya usaili uo...
1 Reactions
5 Replies
357 Views
Nafasi ya kazi fundi mechanical na Fundi welding wanahitajika, sifa kubwa mbili mtu awenazo awe amesomea na awe na cheti na na pia awe na uzoefu wa kufanya kazi viwandani Piga 0766320816 kwa...
2 Reactions
8 Replies
820 Views
Shida kubwa ni ajira kwa vijana wa sasa lakini kuna uwezekano wa kazi za masaa kama ilivyokuwa hospitalini kwamba kuna daktari ataingia usiku na mwingine asubuhi. Makampuni hapa Tanzania ni mengi...
1 Reactions
5 Replies
328 Views
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia...
1 Reactions
0 Replies
92 Views
Habari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa...
2 Reactions
16 Replies
881 Views
Mfano: Ngazi ya degree Admission officer Examination officer Warden e.t.c Ahsante
1 Reactions
54 Replies
13K Views
Back
Top Bottom