Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy...
9 Reactions
74 Replies
9K Views
Anahitajika mfamasia mwenye Degree, mshahara utakuwa ni makubaliano kati ya mkurugenzi na muhusika. Tupo mkoa wa Lindi kwa maelezo zaidi piga +255 627 826 480 au 0656 704 979 Karibuni sana.
0 Reactions
2 Replies
531 Views
Ah naitwa Ernest. Natafuta gari ya hesabu. Haijalishi ni namba ya private au commercial. Na leseni class C. Na uzoefu wa miaka 4 kwenye Uber n Bolt. No yangu: 0783610244 0783610244 0783610244
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari wakuu, nimeitwa kwenye interview tarehe 17 itafanyika CRDB BANK HOUSE MIKOCHENI,naomba mnielekeze nafikaje hapo Mimi natokea tabata kimanga. Nashukuru kwa msaada wenu maana kuuliza si ujinga
0 Reactions
56 Replies
12K Views
Habari za muda huu wana jf, Nina shida na natafuta kazi, nina Certificate of Achievement, natafuta kazi ya counter (nina uzoefu), duka la simu au la nguo (accessories) kwa mwenye connection...
1 Reactions
5 Replies
474 Views
Ni matumaini yangu kwmb wana jf mpo poa!naomba kujuzwa kiwango cha mishahara kwa hawa wakala wa barabara tanzania TANROADS hasa kwa nafasi za WEIGHBRIDGE OPERATORS!Nimeona salary scales km vile...
0 Reactions
39 Replies
29K Views
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti) Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi swali...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Wakuu habari za saizi Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni. Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu Naomba kwa yoyote...
2 Reactions
4 Replies
383 Views
Wakuu habarini za majukumu. Jamani Nipo hapa naombeni ushauri. Je ni sake kibarua kipi kati ya hivi viwili Vya wachina. Vyote naweza kupenya 1. Niende kwenye ujenzi wa miundo mbinu. Wakuu kama...
2 Reactions
12 Replies
592 Views
Are you looking for Job? Do you want professional coaching in writing Job Application documents that create a lasting, positive impression? Then, Business Consultancy Services is the right place...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Viongozi habari za muda huu Katika maisha ya kufanya kazi Kuna mistakes za hapa na pale ambazo unaweza kuzifanya wewe mwenyewe au mtu mwengine ambapo msala unaweza kuwaangukia watu wote ofisi...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Hi wakuu. Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahulu Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be...
4 Reactions
65 Replies
2K Views
Binafsi, nilitambulishwa kwa mke wa Mheshimiwa fulani. Nikaona niwe na mawasiliano naye mara kwa mara kama dada yangu. Hivi majuzi, aliniuliza kama nilikuwa tayari nimepata ajira. Nilipomwambia...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Mawasiliano +255620666761 Naendesha class D vehicles only.
1 Reactions
3 Replies
238 Views
Bila kupoteza muda Mimi in mkemia Wa dhahabu kwenye upande Wa plant Natafuta kazi kwenye chimbo lolote hata nikianza nikiwa chini ya mkemia mwengine sawa( wakemia wenzangu mniunge kwenye kazi)...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
  • Poll Poll
Habari wanajamvi, shule zinaenda kufunguliwa kesho hivyo kwa mwenye connection ya kazi ya kufundisha anisaidie, chuo nmehitimu UDSM
1 Reactions
0 Replies
320 Views
VIPI bajeti kupitishwa na ajira ndiyo zitatangazwa au ndiyo Hadi vikao vya tareh 27 August viishe tena?
2 Reactions
5 Replies
387 Views
Mwenye kujua maslahi ya staff NHIF, 1. Mishahara, 2. Mikopo, 3. Safari za nje, 4. Posho za vikao, ufuatiliaji,
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukiacha zile units 1000 za umeme kwa mwezi, over time, safari za mafunzo nje ya nchi. Hawa jamaa Wana lipi la kujivunia?
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwema wadau? Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom