Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗘𝗮𝗿𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲𝘀 𝗸𝘂𝗱𝗵𝗶𝗯𝗶𝘁𝗶 𝗺𝗮𝗽𝗶𝗴𝗼 𝘆𝗮 𝗺𝗼𝘆𝗼 Google kupitia utafiti waliofanya kuhusu audioplethysmography (APG) wameweza kuongeza feature Kwenye Earbuds na headphones uwezo kuzuia kelele na...
2 Reactions
3 Replies
445 Views
Habari Wakuu Aisee Mimi nimekuwa nikifanya biashara Instagram kwa kutumia hizi Instagram sponsored ad na kuzifanyia malipo lkn kutokana na changamoto za maisha nmeyumba nakuja kucheki nina deni...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari. Nina mwezi wa tatu sàsa natumia tecno yaani hadi nakoma.Yaani ni stress tupu nashindwa kuizoea mara inepeleke kule mara huko nikirudi huku inanitoa nje mara iminimize yenyewe nikibonyeza...
7 Reactions
166 Replies
11K Views
Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
GPS ni mfumo wezeshi ulioanzishwa kwa lengo la kupata urahisi wa ufanyaji Navigation ya eneo fulani la kitu fulani kilicholengwa na utambuzi wa muda uelekeo wa mahala fulani ambapo mtumiaji...
2 Reactions
2 Replies
695 Views
Hii, December Xiaomi wameachilia chombo kipya tena, Xiaomi 13 pro. Simu hii inapatikana kwa shilingi za kitanzania kama 2,821,000/= hivi kule AliExpress Hii ni picha ya Xiaomi 13 pro Simu hii...
14 Reactions
100 Replies
11K Views
Web Developments Training and Mentorship I can teach and train people who are getting started to websites for both client-side and server-side and game development with modern technologies...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za kila mmoja mwenye kusoma uzi huu Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, ni kwamba inahitajika mashine(hapa mafundi simu tu ndo watanielewa zaidi nikisema mashine) ya google...
0 Reactions
3 Replies
580 Views
Tatizo la hawa ndugu zetu kina tecno hawatumii Soc (System on chip) mpya, soc huwa zinashikilia Ram, camera, modem za kunasa mtandao, wifi na vifaa vingine, soc ni kama roho ya simu. Yani wao...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu popote mlipo habari zenu, wakubwa shikamooni Katika pitapita zangu za online nimekutana na changamoto ya kushindwa kupakua playlist kutoka youtube yaani kuihifadhi kwenye laptop yangu ya...
0 Reactions
5 Replies
709 Views
Wakuu naandika haraka nipate majibu maana nimeletewa simu Mpya infinix hot 30 play Kwa laki Tatu na ishirini. Sasa Ile nimemaliza kuweka information zote maana ni simu Mpya ila ajabu unaweza ukawa...
6 Reactions
99 Replies
4K Views
  • Closed
Habarini wana JF, nimekuwa nikiwaza sana mahali gani nitasoma Programming hasa; Webdesing, Android, IOS, Mac, Windows, App development, Game na mambo ya Software. Ni muda gani nitatumia mpaka...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari za muda huu wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, account yangu imepigwa ban sababu kuu ni kutumia WhatsApp mods Msaada kwa anayejua namna ya kutatua tatizo hilo
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hakuna program ya Linux inayotamba ulimwenguni kama vile Ubuntu Tunaweza sema ni baba wa Linux, ni Brandi kubwa katika ulimwengu wa Linux mpaka sasa. Unajua Kwanini ?? Threads ni yako...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mtu nlimpa Bajaj ya mzigo kwa mkataba na amekimbia nayo hajulikani alipo, nikipiga simu hapokei na muda mwingne haipatikani kabisa. Ntawezaje kumpata mtu kama huyu..?
10 Reactions
68 Replies
4K Views
Habariiiiiii wakuu, Nilileta swali hapa jf kisima cha maarifa Kuhusu tatizo la PC yangu kuzima ghafla na (kuwasha taa then kuzima bila kuwasha screen) nime note vitu vifuatavyo:: Baada ya...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Wadau hivi hii feature mpya katika WhatsApp inazuia namba iliyo katika locked chat isitazame status za mtumiaji aliye add iyo nmba katika locked chat?
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Nimepita pita madukani kuuliza Samsung nakutana na Samsung made in Vietnam jee hizi ni Samsung original au ni Copy? Maana kwa mawazo yangu Samsung zinatoka Korea
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Hivi kwanini watu hawapendi kutumia Microsoft edge kuliko google chrome?? [emoji44][emoji44]Unajua wanachokifanya Microsoft edge Sasa [emoji116][emoji116] Kampuni ya Microsoft kupitia program...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom