Tech sasa hivi ndio industry yenye pesa Duniani kuliko industry yoyote, zamani visima vya mafuta ndio ilikuwa habari ila kwa sasa tech ndio kisima cha mafuta na DATA ndio mafuta, ukitaka...
Habarini wakuu, poleni na majukumu. Moja kwa moja kwenye mada.
Ni hivi, Shida yangu ni hii nna imani tuna ma IT gurus wengi kwenye haya maswala humu. Mimi niko mkoa wa X wilayani Y, huku niliko...
Habari zenu Wana jukwaa.
Msaada tafadhali.
Laptop yangu (LENOVO YOGA 11e THINKPAD). Inakataa ku-log in, japo password ni sahihi kabisa na Caps nazingatia. Nikiweka password inasema Welcome...
Kwa mujibu wa takwimu kutoka shirika la kitafiti la marekani ya maswala ya TEHAMA Gartner zinaonyesha simu za windows zimeshuka kwenye soko na kufikia 0.4% mwaka huu kutoka 3.3% mwaka 2013 na...
Asalaam aleykum Jamiyah, hapo awali kidogo ukinnunua simu dukani ilikuwa ni simu ambayo endapo ni Samsung, Nokia, tecno na kadhalika, wakati wa kuiwasha ilikuwa inakuja nembo halisi ya simu husika...
Mwezi mmoja na nusu ago, tulikuwa na speed nzuri mtu unashusha ma series na movies kibao tu kwa siku. Mimi ilikuwa inanimotisha nachapa kazi sana na sioni shida kutoka usiku saa 2 au 3 bila hata...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninaomba kwa wataalam wa ujenzi mtu aweze nisaidia michoro ya design mbalimbali za fence for residential area. Nimejaribu kuangalia Pinterest...
Habari wakuu
Kwa watumiaji wa Kali Linux hii ni bab kubwa, hapa nawaza nianze kuifanya kama biashara najua vijana watakao hitaji kumiliki simu za wapenzi wao ni wengi.
Ipo hivi.
Kuna tool...
Simu za Android ni simu zenye mfumo rahisi kutumika lakini simu za Android pia ni rahisi Sana kuzifanyia makosa upelekea simu kualibika au kufa kabisa.
Kuna makosa mengi watumiaji wa simu za...
Kibongo bongo kozi za kompyuta tushazoea kuziita kozi za IT ikiwemo computer science, computer engineering, IT, n.k.
Maisha ya sasa teknolojia ipo mbali sana na tunatembea, smartphones, internet...
Moja kwa moja kwenye mada.
Whatsap wamekuwa na tabia ya kupiga accounts zangu za Whatsapp ban pasinakuwa na sababu za msingi.
Zamani nilikua nmezoea kutumia GB WhatsApp na FM Whatsapp kwa sababu...
Motorola miaka ya nyuma walikua wanakimbiza sana Kwenye soko la kuuza simu ulimwenguni Kuna kipindi upepo ukakata na kushuka Kwenye soko siku ya Jana Motorola wamerudi tena ulimwenguni...
Kampuni Bora ya simu inayokuja kwa kasi afrika transsion holding wametoa toleo jipya la Infinix aina ya Note 30 VIP kwa kushirikiana na kampuni Bora ya magari ulimwenguni Bmw.
Muundo wake uko poa...
Salam kwenu wakuu
Je ni kweli kilowatt zinazoandikwa kwenye mafrige ni za kweli kuanzia ni nunue kifrige changu tena kipya matumizi ya umeme ya mepaa sana
Kimeandikwa kwh113 kwa mwaka am ago...
Za mishe mishe ndugu zangu
Nilitaka kununua tv mpya dukani kwa hapa Dsm nataka ninunue flat screen mimi kipato changu ni cha kati na nataka Tv ya nchi 32 na budget yangu ni kati ya 270k hadi 330k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.