Wadau habari, naomba tuangazie macho kwenye hii functionality inayopatika kwenye simu za android.
Kadri matoleo mapya Adroid yanavyokuja ndivyo usalama wake pia huumalishwa kwa kuwalinda walaji...
Habar za majukumu wana jamvi,
Kwa wale wataalamu wa pc msaada wenu plz
Nimenunua pc aina ya hp 450, wakati nainunua pale dukan , niliiangalia betri yake ili niweze kujua kwamba inakaa na chaji...
Jamani wana forum kwa yeyote anayejua namna ya kulipia VIP ACCOUNT na FOREVER ACCOUNT ili kuweza kuwa Subscribed na Channel za Canal sport naomba msaada..natumia decoder ya Starsat
Kuna jamaa...
Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti...
𝗧𝗶𝗴𝗼𝗽𝗲𝘀𝗮 𝗻𝗱𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽
Kampuni ya Tigo nchini Tanzania imezindua mfumo mpya wa watu kuweza kufanya miamala mbalimbali kupitia Whatsapp.
Kukua kwa Teknolojia nchini Tanzania Kuna fanya...
Kumekua na kesi nyingi za watu kulalamika kufungiwa 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 zao kila mara, watu wengi wanalalamika kila wanapojaribu ku download Whatsapp na kujiunga tu wanafungiwa nini shida ?
Kuna mtu alikua...
Nahitaji kurudisha email yangu ya kwanza lakini password nimesahau.
Lakini hatua ya mwisho inanishinda wananiambia wametuma Tena verification code kwenye email ninayotaka kuirudisha, hapo...
Habari wanaJF, kama kichwa kinavyojieleza; kutokana na mijadala mbalimbali juu ya samsung original na copy je ni njia ipi itumike kuangalia kama simu ni copy au original kwa simu za samsung.
Kwenu...
Salama wadau,
Kama kichwa kinavyo eleza. Nina footages nili shoot sasa baada ya kuzihamishia kwenye pc kuna baadh yakawa corrupted.
Video hazi play lakini ukicheck properties zinasoma nyingine...
Vita ya marekani na Korea [emoji44]
Idara ya sheria ya Marekani (,justice department) imetoa malalamiko kwa raia wa Korea ya Kaskazini wamekuwa wakifanya kazi mbalimbali kupitia makampuni ya...
Mafundi msaada kidogo, nina tv yangu (smart) imekata mwanga yenyewe ila inawaka kama kawaida. Je kitu gani hapo kwenye hiyo picha kinahitaji kubadilishwa?
Wakuu kama kichwa habari kinavyojieleza.
Simu yangu kwasasa ni mwendo wa matangazo ya 1x bet, mara magame naamua kujipumzishia zangu fuvu niingie JF matangazo yanaibuka Data ya mawazo ni mwendo...
Wanajamvi habari zenu,
Jamani nimekuja hapa kuomba ushauri nahitaji kununua TV kwa ajili ya project yangu flani hivi. TV nazotaka ni hizi za kawaida kabisa kulingana na budget yangu, sasa kati ya...
1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna...
Hapa nazungumzia pump za kuvuta maji kwenye visima. Nimeambiwa ipo ya solar Tsh. 150,000/- panel watt 200 na kuendelea na ya umeme pia ipo niliambiwa bei ni sawa na ya solar.
Uwezo: 100m kutoka...
Jana nimekaa nikatafakari sana;
Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana?
Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu...
Kampuni ya Xiaomi kwa kushirikiana na kampuni ya crowdfunding wameleta vitasa vipya vya kisasa kwa Ajili ya kuongeza usalama Kwenye nyumba au ofisini.
Inaitwa smart Door lock E20 Wifi version...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.